Badala ya kuweka maoni wa wafanyabiashara, unaweka maoni ya huyo tumbo tumboSasa kwani hawasemi? Kwani umesimia shida bandarini Kwa Sasa?
View: https://x.com/Jambotv_/status/1852268259468329133?t=SnaWzHdTNvbdYdbwff94WQ&s=19
Kwani jf hakuna shippers si wapo? Waje wakanusheBadala ya kuweka maoni wa wafanyabiashara, unaweka maoni ya huyo tumbo tumbo
Wako wapi waliokiri?My Take
Kwenye suala la uwekezaji wa DP World Bandari ya Dar,Rais Samia alikuwa mbele ya muda 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB0pZv_KOQh/?igsh=MWZmdHIzeTJocTlveA==View attachment 3140463
View: https://x.com/Jambotv_/status/1851941145787437497?t=nUzmr4fPjScQ1V504xFi2A&s=19
Wakati serikali unawakabidhi Rites shirika la reli walikua na maneno mazuri kama hayo, mwanzoni mwa operations pia kulikua na meneno mazuri Sana. Ila mwishoni ndio kilio kikajaNdio,mbona ni kawaida Kwa Serikali kuja na taarifa tofauti? Mbona tumewahi wapa wahindi Kuendesha TRC na hasara zikazidi na Serikali kufuta huo mkataba?
Mwisho kabla ya taarifa ya Wizara wewe nenda bandarini ukasema anayoongea ni kweli au hapana
Nimekuuliza nilitegemea una jibu ili nikujuze usiyojuaKama huweykusikiliza video ya Kitila soma maelezo
Kwani jf hakuna shippers si wapo? Waje wakanushe
Port charges zimepanda. Umewahi kuingiza mzigo hivi karibun?Ghara
Gharama zipi zilizopanda Kwa Watumishi wa gati 3 za DP World,zitaje
Mimi natumia hiyo bandari, alichosema ni uongoKwani jf hakuna shippers si wapo? Waje wakanushe
Rostam aziz ndio boss wa bandari nikwambie tu maana naona bado unanuka maziwaHuo ujinga kasimulianeni huko Chadomo.
Kuna kampuni ya Ubia kati ya Tanznaia na DP World ambayo ina monitor shughuli zote.
Pia haijawahi tokea Bandari ikapata hasara
Awataje wanaosifia DP World hadharani asiongee kufurahisha wachache.My Take
Kwenye suala la uwekezaji wa DP World Bandari ya Dar,Rais Samia alikuwa mbele ya muda 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DB0pZv_KOQh/?igsh=MWZmdHIzeTJocTlveA==View attachment 3140463
View: https://x.com/Jambotv_/status/1851941145787437497?t=nUzmr4fPjScQ1V504xFi2A&s=19
Ndo nashangaa yaani serikali walichofanya ni sawa na baba kumkimbia mwanamke aliyejifungua mtoto wa kike halafu badae anataka kuja kupata mahali kutoka kwa mtoto huyoKampuni inawekeza bilion 600 kwa miaka mitano kweenye bandari, mnashangilia?
Serikali tu ilifanya uwekzaji hapo wa zaidibya trillion 1. Leo bilion 600 kwa miaka mitano inakua sherehe? Mmerogwa
Kiweke hapa kipengele cha kuvunja mkataba tukichambue, usiandike bila ushahidi na vipengele.Ona Sasa kumbe unaropoka hujui kitu.Kipengele Cha kuvunja kipo bila hizo fidia kama atakiuka makubaliano
Niweke kipengele ambacho ni Siri? Waliosaini ndio walituambia kunayo hiyo section.Kiweke hapa kipengele cha kuvunja mkataba tukichambue, usiandike bila ushahidi na vipengele.
Wanaohudumiwa na Bandari,wewe hata ukichukia Hina Msaada na Wala hutumii Bandari.Awataje wanaosifia DP World hadharani asiongee kufurahisha wachache.
Kwani akiwa bosi wa Bandari Kuna tatizo gani? Mbona wamekuwepo kina TICS na wengine kabla hapo?Rostam aziz ndio boss wa bandari nikwambie tu maana naona bado unanuka maziwa
Boya kama wewe ukute hujawahi hata fika bandarini.Mimi natumia hiyo bandari, alichosema ni uongo
Taja hizo port charges zilizopanda Kwa sababu ya DP WorldPort charges zimepanda. Umewahi kuingiza mzigo hivi karibun?
Lakini uliwahi kuona hao Rites wameripoti faida kama ilivyo Kwa DP World na Serikali?Wakati serikali unawakabidhi Rites shirika la reli walikua na maneno mazuri kama hayo, mwanzoni mwa operations pia kulikua na meneno mazuri Sana. Ila mwishoni ndio kilio kikaja
Sihitaji kwenda bandarini, nipo huku kila siku