Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

Prof Kitila: Waliopinga DP World Wakiri Mafanikio Yake Hadharani

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewataka wale waliokuwa wakipinga mkataba wa uwekezaji wa kampuni ya DP World katika Bandari ya Dar es Salaam kujitokeza hadharani ili kukiri mafanikio yaliyopatikana kutoka na uwekezaji huo.

Prof. Kitila ametoa kauli hiyo tarehe 1 Novemba 2024, wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026 bungeni jijini Dodoma ambayo yalienda sambamba na kuwasilisha mafanikio kumi yaliyopatikana kutokana na uamuzi wa serikali wa kuikabidhi Kampuni ya DP World kuendesha sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam, uamuzi ambao ulikumbana na upinzani mkali kutoka kwa baadhi ya Watanzania.


View: https://x.com/Jambotv_/status/1851941145787437497?t=nUzmr4fPjScQ1V504xFi2A&s=19
 
Duh dp world sio muda mrefu upepo wa siasa ukienda vibaya usishangae wakatangaza hasara ili wakwepe mabilioni ya Kodi!!

Kampuni za mifukoni hizi madalali ndio wanufaika Niko pale nimetulia!!
Huo ujinga kasimulianeni huko Chadomo.

Kuna kampuni ya Ubia kati ya Tanznaia na DP World ambayo ina monitor shughuli zote.

Pia haijawahi tokea Bandari ikapata hasara
 
Back
Top Bottom