ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amewataka wale waliokuwa wakipinga mkataba wa uwekezaji wa kampuni ya DP World katika Bandari ya Dar es Salaam kujitokeza hadharani ili kukiri mafanikio yaliyopatikana kutoka na uwekezaji huo.
Prof. Kitila ametoa kauli hiyo tarehe 1 Novemba 2024, wakati akiwasilisha Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa mwaka 2025/2026 bungeni jijini Dodoma ambayo yalienda sambamba na kuwasilisha mafanikio kumi yaliyopatikana kutokana na uamuzi wa serikali wa kuikabidhi Kampuni ya DP World kuendesha sehemu ya Bandari ya Dar es Salaam, uamuzi ambao ulikumbana na upinzani mkali kutoka kwa baadhi ya Watanzania.
View: https://x.com/Jambotv_/status/1851941145787437497?t=nUzmr4fPjScQ1V504xFi2A&s=19