Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kule Segerea walisimamishwa hao Wagombea wa kila chama kabla hata ya haya ya leo.Mimi naona hii imefanyika ili kudhoofisha chama hatimaye washindwe kudhiriki kikamilifu katika zoezi la kumtafuta Mayor wa DSM
lipumba alimuandikia katibu mkuu kusudio la kujiuzulu lakini katibu mkuu akamwambia asubiri atamjibu kama amekubali au lah...lakini hakumjibu wala hakupeleka barua kwa msajili kama taratibu zinavyo hitaji hivyo lipumba akatengua ile barua na kurudi mzigoni.
Tusiwe wapiga ramli mkuu The Boss, tuwahukumu kwa matendo yao......Siasa za nchi hii hata huyo Mtatiro usishangae nae ni 'wakala' tu
Siku zote Seif anajulikana kuwa ni pandikizi la CCM. Kumbukeni kwamba Seif ndiye aliyefichua waraka wa Aboud Jumbe kuhusu uwepo wa serikali tatu, ya Muungano, ya Mapinduzi na ya Tanganyika. Seif huyu huyu ndiye anayetaka serikali ya Mkataba au serikali tatu. Hivi tumerogwa?Siasa za nchi hii hata huyo Mtatiro usishangae nae ni 'wakala' tu
Plan yake FB="mchakamchaka2, post: 17784817, member: 31887"]Mtatiro hakuwa na backup plan...alkuwa anaendeshwa na matukio, ngoja mnyamwez awaonyeshe kazi
Hehehe uchambuzi utaendeleaSiku zote Seif anajulikana kuwa ni pandikizi la CCM. Kumbukeni kwamba Seif ndiye aliyefichua waraka wa Aboud Jumbe kuhusu uwepo wa serikali tatu, ya Muungano, ya Mapinduzi na ya Tanganyika. Seif huyu huyu ndiye anayetaka serikali ya Mkataba au serikali tatu. Hivi tumerogwa?
Upo sawa mkuuHAWA NDIO WAPINZANI UCHWARA... WAKIKOSA HOJA WANASEMA ANATUMIWA NA CCM..
Kama waliweza kutuaminisha kuwa Lowasa ni fisadi... Ghafla wakaanza kumsafisha... Ni kichaa pekee anaweza kuyafanya haya.
Anashindana lakini abadani hatafanikiwaHatua hii kaichukua kwa madai ya kwamba anakisuka chama upya. Professor Lipumba kachukua hatua hii mara baada ya jana kurudi katika kiti chake ikiwa ni maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, ambaye kisheria ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa!...
Katika kauli yake, kasema hii ni hatua ya kawaida katika kusuka chama ili kiendane na wakati na kujipanga kwa uchaguzi wa meya Kinondoni na Ubungo, na uchaguzi mkuu wa 2020...
Pia, Prof. Lipumba kawaonya wabunge wa CUF kuacha kurukia mambo na kasema watii katiba, sheria, na kanuni za chama hicho vinginevyo watapoteza nafasi zao
Hayo yakiwa yanaendelea kwa upande mwingine viongozi wa mpito wakiongozwa na Mtatiro na Maalim Seif wameitisha baraza kuu itakayofanyika siku ya Jumanne Zanzibar ili kutoa kauli ya pamoja ya kupinga maamuzi ya Jaji Mtungi
Ni hatua nzuri kukisuka chama. Ili chama chochote kiwe na nguvu za kujidhatiti kimkakati ni lazima kuwa na kiongozi makini. Prof. Lipumba kaonesha umakini mkubwa. Ikumbukwe kwamba, Prof. Lipumba ndiye muasisi wa UKAWA baada ya bunge la katiba. Prof. Lipumba pamoja na Dr. Slaa walipinduliwa na CCM katika dakika za mwisho karibu kabisa na uchaguzi pale Edward Lowassa alipotumwa na CCM na kuwanunua baadhi ya wapinzani ili wamsafishe kuhusu kashfa ya Richmond. Ni Prof. Lipumba na Dr. Slaa pekee walioweza kujua mbinu hizo na kutamka hadharani kwamba uchqguzi utatawaliwa na CCM iliyojigawa pande mbili. CCM 'A' na CCM 'B'. Upinzani sasa unaweza kuimarika iwapo wapinzania halisi watarejea ulingoni. Dr. Slaa reja nyumbani uungane na mwenzako kwenye mapambano ya ukombozi wa mTanzania anayekosa haki zake za msingi. Maandamano sasa hayana mtu wa kuyazuia.
Mkuu nina wasiwasi pia, James Mapalala kuteuliwa na kupewa na fasi nyeti kwenye hii CUF ya Lipumba, hapo ngoma ndo kwanza itakuwa imeanzaMtatiro hana kabisa influence kwa wana cuf wa Buguruni pale na bara kiujumla...
ilo ni tatizo lingine....
Poleni UKAWA kwishaaa! Genge lenu pelekeni kwa dikteta MBOWE na fisadi nyangumi LowasaHaya turudini kwenye mada yetu ya TANESCO na IPTL,hili la Lipumba linaendelea tuu
Naona maalimu Sefu ekua muasi sasa kuita kamati kuu zanzibarvni sawa na waasi kufanya kikao porini alafu wanatoa waraka usiotekelezekaHatua hii kaichukua kwa madai ya kwamba anakisuka chama upya. Professor Lipumba kachukua hatua hii mara baada ya jana kurudi katika kiti chake ikiwa ni maamuzi ya msajili wa vyama vya siasa, ambaye kisheria ndio mlezi wa vyama vyote vya siasa!...
Katika kauli yake, kasema hii ni hatua ya kawaida katika kusuka chama ili kiendane na wakati na kujipanga kwa uchaguzi wa meya Kinondoni na Ubungo, na uchaguzi mkuu wa 2020...
Pia, Prof. Lipumba kawaonya wabunge wa CUF kuacha kurukia mambo na kasema watii katiba, sheria, na kanuni za chama hicho vinginevyo watapoteza nafasi zao
Hayo yakiwa yanaendelea kwa upande mwingine viongozi wa mpito wakiongozwa na Mtatiro na Maalim Seif wameitisha baraza kuu itakayofanyika siku ya Jumanne Zanzibar ili kutoa kauli ya pamoja ya kupinga maamuzi ya Jaji Mtungi
Nahisi ni kikao chavkujifuraishaBaraza kuu linaitishwa na katibu mkuu kwa kushauriana na Mwenyekiti amabae ni Lipumba
Kina mtatiro wanaenda kuitisha kikao cha harusi tu kwa kuwa HSefu ni lazima ashauriane na Lipumba sio Mtatiro ambae hatambuliwi
Kuliko Mroho hasa!?Lipumba ana uchu wa madaraka!