Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.
Ligi ndogo iliisha, na sasa ligi kubwa imekuja na kasi yake.
 
Mimi naona hii imefanyika ili kudhoofisha chama hatimaye washindwe kudhiriki kikamilifu katika zoezi la kumtafuta Mayor wa DSM
Kule Segerea walisimamishwa hao Wagombea wa kila chama kabla hata ya haya ya leo.
 

Ukiacha kazi ukaandika barua ya kujiuzulu kwa hiari baada ya mwaka unamrudia mwajiri wako na kutaka nafasi yako upya??Hakika Elimu za wasomi wetu za kushangaza sana.Bora mie niendelee kuwa nilivyo PhD basi sitaki haina maana
 
Siasa za nchi hii hata huyo Mtatiro usishangae nae ni 'wakala' tu
Siku zote Seif anajulikana kuwa ni pandikizi la CCM. Kumbukeni kwamba Seif ndiye aliyefichua waraka wa Aboud Jumbe kuhusu uwepo wa serikali tatu, ya Muungano, ya Mapinduzi na ya Tanganyika. Seif huyu huyu ndiye anayetaka serikali ya Mkataba au serikali tatu. Hivi tumerogwa?
 
="mchakamchaka2, post: 17784817, member: 31887"]Mtatiro hakuwa na backup plan...alkuwa anaendeshwa na matukio, ngoja mnyamwez awaonyeshe kazi
Plan yake FB
 
Hehehe uchambuzi utaendelea
 
HAWA NDIO WAPINZANI UCHWARA... WAKIKOSA HOJA WANASEMA ANATUMIWA NA CCM..

Kama waliweza kutuaminisha kuwa Lowasa ni fisadi... Ghafla wakaanza kumsafisha... Ni kichaa pekee anaweza kuyafanya haya.
Upo sawa mkuu
Hawa wameishiwa
 
Anashindana lakini abadani hatafanikiwa
 
Mwisho wa siku wakaamua kuwa wapiga kampeni wa ccm A ,kweli jamaa walikuwa wapinzani wa kweli
 
Haya turudini kwenye mada yetu ya TANESCO na IPTL,hili la Lipumba linaendelea tuu
 
Mtatiro hana kabisa influence kwa wana cuf wa Buguruni pale na bara kiujumla...
ilo ni tatizo lingine....
Mkuu nina wasiwasi pia, James Mapalala kuteuliwa na kupewa na fasi nyeti kwenye hii CUF ya Lipumba, hapo ngoma ndo kwanza itakuwa imeanza
 
Mmmh chonde chonde Lipumba, usije kuaribu uchaguzi wa Meya Kinondoni na Ubungo..
 
Sijui kwanini Chadema wanahangaika sana na mambo ya CUF!
 
Naona maalimu Sefu ekua muasi sasa kuita kamati kuu zanzibarvni sawa na waasi kufanya kikao porini alafu wanatoa waraka usiotekelezeka
 
Baraza kuu linaitishwa na katibu mkuu kwa kushauriana na Mwenyekiti amabae ni Lipumba
Kina mtatiro wanaenda kuitisha kikao cha harusi tu kwa kuwa HSefu ni lazima ashauriane na Lipumba sio Mtatiro ambae hatambuliwi
Nahisi ni kikao chavkujifuraisha
Sasa kisiwa cha zimbambwe ndio kimekua kikendesha uwasi wa cuf
 
Kinachoshangaza huyu mwenyekiti si alijiuzulu mwenyewe tena niliona na video yake humu?
Sasa hii pumzi nzito midhili ya mtu kufufuka imetokea wapi? Na kwa maana hiyo msajili wa vyama ametengua kujiuzulu kwake au? Tena tukasikia yuko Rwanda, Ni Dakatari gani mahiri namna hii huko? Loh! Tanzania ingewezekana tungepewa sayari yetu wenyewe.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…