Tetesi: Prof. Lipumba awafukuza kazi wakurugenzi wote wa CUF

Status
Not open for further replies.

Wakati maalimu ana deal na mutungi professor huku Yeye anasafisha, da kazi kwelikweli
 
Disco lishaingia mmsai wafuasi na wanachama wa cuf sijuwi tutauchezaje mziki huu.
 
Daah uchaguz wa mameya dar CCM wanabeba mameya wote....lakin inakuwaje mtu alirjizuru kihalali msajili anasema stil ni kiongoz halali!!!!!
 
Not a direct threat to CCM but with it wthin ukawa is a big threat......there may be problems within cuf itself but ccm is taking advantage of the situation
 
AF PICHA LIKIISHA HAPO NA DR NAYE ANARUDI KWENYE KITI CHAKE.....ILI WAMALIZANE WAO KWA WAO
 
CUF kurudi kwa lipumba ndio inajimaliza. maamuzi ya wanachma hayaheshimiwi, msajili wa vyama ndio ana dictate nani awe mwenyekiti! AIBU
Siyo kwamba Waarabu wamegonga mwamba? Walimuweka Lipumba wakidhani atakubali kuwa figurehead. Walipotaka kuvunja Muungano ili wagawane mbao ili Waarabu wachukue Zanzibar na mafisadi wa UKAWA wachukue Tanganyika kwa hila, Professor na wazalendo wenzakei Wabunge wa Tabora, Mtwara na Tanga wakakataa kusaliti nchi. Mwacheni Professor apange safu - uinzani imara ni utawala imara. Hiki chama ni cha Mapalala mtu ws Bara, lakini Waarabu wakakiteka nyara kama utumwa.
 
Huu ni ukweli
 
Kumbuka kuwa Maalim Seif alimsukumia nje James Mapalala mwanzilishi wa CUF
Soon huyo Maalim Seif nafasi yake itatenguliwa na mwenyekiti atateua katibu mkuu mpya
 
Kama mchezo mnaotaka kuucheza Lumumba ni kumtumia huyu pro wenu kumhujumu Maalim,basi mnakosea sana.Hili jipu mnalitengeneza nawaambieni!Likitumbuka mwili mzima utaugua.
 
Hahahahaa The Boss huu mchezo hauhitaji hasira.. wakina Mtatiro badala ya kukaa pembeni ndio kwanza amehamia Zanzibar kutumika vizuri na Sefu...

Kwa hiyo hata zile barua walizo kuwa wana tuma UN prof anaweza sema ni batili kwakuwa haku sign yeye? Da siasa ni mchezo mchafu.
 
Reactions: nao
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…