Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,399
- 8,629
Ndo mana nchi hii wasomi hawaheshimiki kumbe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio matatizo yenu watu wenye akili fupi.kwenye mambo ya msingi mnaleta hekaya za abunuasi.We unavyoonyesha, hata ukimfumania mkeo anagegedwa na Manfongo utasema ni ccm imehusika!
NCCR -MAGEUZI ya Mrema in the making ingawa kwa staili tofauti![/QUOTE
unakumbukumbu mkuu
Duuu ! Kwa uelewa huu , safari bado ndefuu! !Nalikumbuka swali lako... na wakati watu tunaelezea uhalisia, wengine walitukejeli! Leo hii inashangaza kuona mtu asiye na wafuasi lakini bado ameweza kuingia HQ! Na tukiweka unafiki pembeni, hata hapa JF tunaowaona wapo sana upande wa akina Mtatiro ni watu wa CHADEMA ndio wengi kuliko CUF!
Watu gani aliokuwa nao huyu Lipumbaa !!Watu wengi wanapenda kufanya mambo kihisia tu
hawataki kutazama reality....Lipumba hata kama kanunuliwa na CCM..
akiweza kuwa na wafuasi tu basi ni tatizo
siasa ni watu na sio sheria...
Of course, watu wenyewe awatolee wapi ndo maana sie wengine tunashangaa inakuaje tena mnatoa povu!Watu gani aliokuwa nao huyu Lipumbaa !!
Are you serious!!!??Assassination is the solution
Chadema Inatisha sana. NimeaminiSijui kwanini Chadema wanahangaika sana na mambo ya CUF!
Akili kumkichwa dadadekiNahisi umeya wa Ubungo na Kinondoni kuludi CCM. Mission complete chezea ccm wewe mahesabu ya mbali kabisa mkishtuka tayali zamaani wamemaliza michezo
Wewe umepeleka nini hata kwa Punda?VP, umepeleka mifuko 400 ya cement kwa gharama za mamilioni ya msafara uliokwenda kwa ndege! Ha ha ha ha siasa za Maji taka bana!
Tayari kimetokea!! Sasa ni kumkabili tuu maana nyoka amekwishaingia ndani ya nyumba inahitajika Akili na ubabe wa hali ya juu maana hapo sioni hekma wala busara kuweza tena kutatua huu mgogoro ukizingatia kila mmoja anajiona NGANGARI.Prof, vipi unaamua kula matapishi yako, ulichotegemea kitatokea, hakijatokea?
Unda chama chako wafuasi unao.
Mnyamwezi hakuna anachosimamia hapo zaidi ya tumbo lake! Na hapo alipo ana adviceMtatiro hakuwa na backup plan...alkuwa anaendeshwa na matukio, ngoja mnyamwez awaonyeshe kazi
Mkuu The Boss, Zanzibar ndiko kuna wabunge wengi wa CUF, idadi ya wabunge ndio inayofanya chama kipate ruzuku kidogo au nyingi. Lipumba anastahili lawama katika kuifanya CUF isiwe na wabunge wengi bara, anataka kuwatumia wafuasi wanaomuunga mkono kuficha udhaifu wake. Maana yake ni kwamba kule Zanzibar CUF wanapiga mzigo kwelikweli, tofauti na huku bara ambako Lipumba amekuwa akisaidia CCM tangu muda mrefu badala ya kupambana kwa ajili ya CUF. Unaweza kukumbuka kwamba ni Lipumba alitumia msikiti kuwashawishi Waislamu wampigie kura Kikwete (CCM) kuliko kuiingiza madarakani Chadema chini ya Dk Slaa katika uchaguzi wa mwaka 2010. Tungeonyeshwa kama mfano suala moja tu ambalo Seif "alilitolea sauti ya mwisho" tungeweza kuchangia kwa upana kidogo. Lipumba na wanaomtuma wanafahamu misimo ya Mtatiro, na usishangae kuona Lipumba inafikia mahali analindwa na bunduki ambazo zimenunuliwa kwa kodi zetu, kuharibu taswira ya upinzani! Nadhani umma sasa usimame kumkabili Lipumba, huyu Lipumba wa kuanzia 2010 ni hatari kwa upinzani hapa nchini!
Du!
Naona wameamua kuiua CUF. Katibu mkuu huwa anateuliwa na Mwenyekiti, kwa mantiki hiyo Lipumba anauwezo wa kumsimamisha Maalimu Seifu....
Mkuu G Sam hili swala limekuwa kama comedy! Yaani acha tuu.Kwahiyo na Maalim kafukuzwa kazi na Lipumba au?
Ha! Ha! Ha!
Mkuu Zinj, ukitaka tuanze kufikiri kuanzia kwenye huu "umungu watu ndani ya vyama" itabidi uwe tayari pia kuzungumzia ugumu wa kuendesha upinzani dhidi ya serikali katika mazingira ya Tanzania. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya mambo haya mawili. Sijui kama uko tayari, kama jibu lako litakuwa "ndiyo", basi nikusihi tu uanze kwa kutonyesha hapa angalau mifano miwili ya "umungu watu ndani ya vyama" ambao ungependa tutumie kama "case study"!Mkuu chabusalu.
Inawezekana kabisa kuwa huyu Lipumba wa kuanzia 2010 ni tofauti na Lipumba wa awali. Ni vyema tuichukue hiyo kama nadharia isiyo na uthibitisho kamili.
Hebu turudi nyuma kidogo na kutafakari uhusiano wa kiutendaji kati ya Mwenyekiti na Katibu Mkuu wake kwenye vyama hivi (CUF/CHADEMA) kwa maana ya (Lipumba/Seif na Mbowe/Slaa). Ni dhahiri utakuta kuna matatizo makubwa yanayo pelekea kuwa na taswira inayo fanana.
Kwenye hivi vyama baadhi ya viongozi hujifanya miungu watu na kutoa maamuzi ambayo si shirikishi na hakuna uwajibikaji wa pamoja. Hebu tujaribu kufikiri kuanzia hapo.