Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Ahamie TLP kule hata mwenyekiti wao sio mpinzani.
 
Kuingia lipumba act ndio kufungua mlango kwa kitila kung'olewa na kutupwa nje
 
Cuf wamepata wabunge wengi wakati lipumba hayupo cuf hivyo hii taarifa yako ni ya uongo na upotoshaji mkubwa
 
PPT MAENDELE walishai k usimamisha mgombea kwa nafasi ya urais bi cloudiana senkolo mwaka 2005 kwahyo huyu mama WA ACT sio WA kwanza ,nilikuwa naweka hansadi vizuri tu mkuu
 
Lipumba sasa keshapotea kama yule aliyekuwa mbunge wa maswa
 
Ebu tuombe radhi wana cdm kwa kuiingiza kwenye vyama kama hivyo hapo juu
 
njaaa mbaya. akakutane na msaliti mwenzie
 
Nikweli lakini tambua wapo wafuasi uchwara wa mtu au walio kuwa wananufaika nae lazima waongozane nae atakapoelekea.

Jaribu ujiulize hivi Magdalena Sakaya(Mbunge wa Kaliua) ananufaika na nini kwa kuwa upande wa Liprofeseli?.
Ni ukabira tu hapo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…