Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Hahahaaa huko kunamfaa
Anamfuata mnafiki mwenzie zito yetu macho
WanaJF

Kuna tetesi zinasambaa kwa kasi kwamba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Prof Ibrahim Lipumba anajiandaa wakati wowote kutoka sasa kutangaza kujiunga na ACT Wazalendo

Taarifa hizo zinazidi kubainisha kwamba mara atakapojiunga Mwenyekiti wa chama hicho Anna Mgwira atajiuzulu nafasi hiyo ili kumpisha Lipumba

Taarifa zaidi zitawajia hivi punde
 
Mkuu Molemo, asante kwa Taarifa, Prof. Lipumba kisiasa ni spent force, Zitto anamkaribisha tuu ili kumtumia kama mtaji kwa kuwavuta wale wafuasi wake bendera fuata upepo ili aipasue CUF na kuiimarisha ACT kwa kupanua wigo wa membership base tuu lakini kiukweli Lipumba hana lolote jipya atakalofanya CUF kwa sababu Uenyekiti wa ACT, ni uenyekiti kilemba cha ukoka tuu, all the powers lies with ZZK, Lipumba kwa vile ni power monger, can't stand kufanywa boya hivyo he will demand real powers na hapo ndipo itakapoibuka vita na mwenye chama chake! .

Hivi Prof. Lipumba ni lazima tuu awe Mwenyekiti? . Hawezi kuwa mwanachama tuu wa kawaida?!.

Pasco
 
Sawa akajiunge Kwan kuna tatzo ila asiwe anatoa maamuzi ya kukurupuka....
 
Ngoja tusubiri....! Japo nililiwaza hili
 
Mkuu Molemo, asante kwa Taarifa, Prof. Lipumba kisiasa ni spent force, Zitto anamkaribisha tuu ili kumtumia kama mtaji kwa kuwavuta wale wafuasi wake bendera fuata upepo ili aipasue CUF na kuiimarisha ACT kwa kupanua wigo wa membership base tuu lakini kiukweli Lipumba hana lolote jipya atakalofanya CUF kwa sababu Uenyekiti wa ACT, ni uenyekiti kilemba cha ukoka tuu, all the powers lies with ZZK, Lipumba kwa vile ni power monger, can't stand kufanywa boya hivyo he will demand real powers na hapo ndipo itakapoibuka vita na mwenye chama chake! .

Hivi Prof. Lipumba ni lazima tuu awe Mwenyekiti? . Hawezi kuwa mwanachama tuu wa kawaida?!.

Pasco
Sentensi ya mwisho najiulizaga kila siku.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom