Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Vikao vya ndani pia si Marufuku? Au ni kwa baadhi ya vyama tu?
 
Mbona hiyo ndiyo alitakiwa kufanya tangu mwanzo, badala ya kujaribu tena kurudi CUF? huwezi kujiuzulu kwa hiari yako kisha ukataka tena kurejea kwa muda mfupi! Prof hapo alionyesha wazi kwamba yeye ni Mchumi kwa hiyo hajui sana haya mambo ya principles za politics.....
 
Aende akakutane na msaliti mwenzake wakafie mbali huko, Watz. tunataka mabadiliko nje ya CCM iliyo laaniwa na Allah.
Mwingine yule alijificha sijui eti Dr. Pesa na Propesa naye ni wakati muafaka sasa ajitokeze na kujiunga katika kundi la wasaliti huko....na Team ya Wasaliti ikamiliki sasa.
May God cursed you all wasaliti
 
A.K.A Zitto Kabwe ndo baba lao ACT, shida ya lipumba uwenyekiti atakubali kuendeshwa ni Zitto Kabwe? kuwa chini ya Zitto Kabwe??
 
Wakimpokea Lipumba wategemee kufa kwa ACT kabisa. Kwa taarifa ametumwa kufanya kazi yake. Ni maandalizi ya 2020!!! Take my words!! Ni hivi 2020 Mgawo wa kura utakuwa ni mkubwa sana i.e mchuano kwa misingi hii maandalizi ya kuua kila upenyo hayana budi kufanyika haraka sana. Kama aliweza kutumika 2015 basi 2020 atatumika zaidi.
 
Hakika hata kama watu wapige vijembe kiasi gani ila ukweli ni kwamba Lipumba ataongeza nguvu ACT kwa kiasi kikubwa sana.
Alipokuwa CUF alishindwa kuwa na mbunge hata mmoja bara leo ataongeza nini Act Wasaliti?
 
angeenda ccm panamfaa

lakini naona kapiga hesabu kaona upinzani ndo panamfaa maana ni rahisi kutumiwa na kupata 10%
Kupata 10% kwenye dili zipi wakati hayupo serikalini? Tunajua serikalini ndiko wenye serikali yao wanakochota "hela ya mboga" na "vijisenti"
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom