figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
hahaha alishajifia kisiasa siku nyingi kaka....Hakika hata kama watu wapige vijembe kiasi gani ila ukweli ni kwamba Lipumba ataongeza nguvu ACT kwa kiasi kikubwa sana.
Haya yote yanatokea ili neno litimiee....... in bible voiceKuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.
Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Kwani mikutano ya ndani imeruhusiwa?Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.
Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.
Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Kama yule tuliyemuuzia chama chetuOle wao 2020 wasipomsimamisha kuwania nafasi ya Urais watamjua yeye ni nani
Alipokuwa CUF alishindwa kuwa na mbunge hata mmoja bara leo ataongeza nini Act Wasaliti?Hakika hata kama watu wapige vijembe kiasi gani ila ukweli ni kwamba Lipumba ataongeza nguvu ACT kwa kiasi kikubwa sana.
Kupata 10% kwenye dili zipi wakati hayupo serikalini? Tunajua serikalini ndiko wenye serikali yao wanakochota "hela ya mboga" na "vijisenti"angeenda ccm panamfaa
lakini naona kapiga hesabu kaona upinzani ndo panamfaa maana ni rahisi kutumiwa na kupata 10%