Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.

Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Hongera Pro. Lipumba, kwa kujitambua " Birds of same Feathers", Hivyo ACT lazima wakupe Uenyekiti " uliouzowea" la sivyo haitanoga. Au bora nenda ADC kwa Hamad Rashid lakini huko usiliie cheo,hupati na hawakupi.
 
Zitto, Lipumba na Slaa walikuwa watu wa ccm kitambo sasa kama wataungana sijui itakuwa ni ccm 2! Wanajua wenyewe...
 
Le professeri kwy ubora wake! Daah Tanzania itahadithia ilivyo na wanasiasa wa ajabu ajabu
 
Au Mbowe, mbona ni yeye tu kwenye uenyekiti?

Nyani haoni kundule.....

Wanasiasa wote ni power mongers
 
Mkuu Ngongo, uko right ila kwenye kugombea uenyekiti hauko sawa! . Zitto hawezi kugombea kwa kubahatisha unless awe ndie mgombea pekee wa upinzani! . Atampokea Lipumba ili kumtumia tuu sababu Lipumba anagombeaga ili kugombea tuu na sio ili kushinda! . Mtu amegombea mara 4 na hakuwahi kupata hata asilimia moja tuu! ,na bado anasusa mtu mwingine kugombea!. Sasa Zitto atamtumia kwa hilo! .
Kwa vile Lipumba hana shughuli nyingine yoyote ya kufanya zaidi ya siasa, itabidi akubali kutumika na awe mdogo! .

Pasco
 
Watu wakisema Tanzania hakuna upinzani mnaona kama mandondocha sijui mnataka muoneshwe na nini.
Unafiki njaa Kali na uchu wa madaraka ndivyo vinavyoua upinzani.
Sishangai hili
 
Chamsingi kama walipanda kwa hila their time is due wanavuna kwa hila ile ile isipokuwa principle ya kupanda na kuvuna huwa tofauti kidogo. Usually mbengu huwa chache sana mavuno huwa thelathini, sitini mpaka mia hencefold ukilinganisha na mbegu
 
safi sana....hapo ndio saaafi ...waache waende huko
 
Njama za kumtumia kuvuruga CUF zimeshindwa,hongera wana Cuf kwa msimamo thabiti
 
Ni haki yake. Asigombanie tena uwenyekiti na huko.
 
Kwanza inapaswa kuwa 'kula' na si 'kura' na kwenye comment yangu hakuna popote niliposhabikia kuhamia kwa Lowassa CHADEMA. If it does happen that Lowassa's move was a decoy as well ita confirm point yangu zaidi juu ya mchezo mchafu wa CCM na dhihaka ya demokrasia inayowafanywa TZ. That being said we all are entitled to our opinions kwa vile tu huafikiani na mtazamo wangu hakukufanyi uwe sahihi.
 
Mlizungumza haya kwa Lowassa wakati yupo ccm, sasa hivi mnamsafisha.

Lipumba ana haki ya kuhamia chama chochote kile....mengineyo ni kejeli tu dhidi yake.

Mnasema Lipumba anang'ang'ania uenyekiti, ila Mbowe hang'ang'anii uenyekiti.

This is double standard
 
Usimlinganishe Prof. Lipumba na Lowasa! ,Lowassa alukuwa mtaji, ameingia Chadema na mtaji mkubwa, he was an asset wakati Lipumba ni liability anajiunga ili apate pa kuponea! .Zitto ni mjaamaa sijui lengo la Lipumba kutafuta pa kuponea kama litatimia huko ACT! .

Kwa taarifa tuu ila usiseme ni mimi ndio nimekuambia! ,2015 aliyeshinda ni mwingine ila aliyetangwazwa ni mwingine! .

Pasco
 
Dua la kuku........
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…