Usimlinganishe Prof. Lipumba na Lowasa! ,Lowassa alukuwa mtaji, ameingia Chadema na mtaji mkubwa, he was an asset wakati Lipumba ni liability anajiunga ili apate pa kuponea! .Zitto ni mjaamaa sijui lengo la Lipumba kutafuta pa kuponea kama litatimia huko ACT! .
Kwa taarifa tuu ila usiseme ni mimi ndio nimekuambia! ,2015 aliyeshinda ni mwingine ila aliyetangwazwa ni mwingine! .
Pasco
Asante kwa taarifa na kwa kuthibitisha mahaba yako kwa mzee!
Pili angalia ulichoandika mwanzo hukuzungumzia issue za asset au liability bro! Unahoji kwani Prof. Lazima awe kiongoz? Na mm nauliza kwani ilikuwa lazima Mzee agombee yeye? Swala la whether he was an asset or liability alishalijibu siku nyingi Dr.Slaa( siku hizi mnamuita Dr.Mihogo).
Anyway, namimi nikuibie siri na usiwambie wanaCDM, hata mwaka 2010 alishinda Dr.Slaa ila hakutangazwa sisi wana CDM ikabidi tumuite tu Rais wa mioyo yetu.
Ila baadae tukafanya kituko kimoja, 2015 tukamtosa Slaa aliyemushinda a serving president 2010 na tukamchagua Fisadi aliyekubuhu( kwa mjibu wa wana CDM) kugombea urais akiwa na siku tatu ndani ya chama ili apambane na mgeni Magufuli! Usiwambie maana hii ni record na tulistahili kuingia kwenye kile kitabu maarufu ya historia duniani!
Hili nalo usiwambie, pamoja na kushinda uchaguzi wa mwaka huu, na tayari ss tunamuita Rais wa mioyo yetu 2020 hatutampa nafasi ya kugombea kupitia CDM!
Tafadhali usiwambie wenyewe! Hii siri anajua Mbowe tu, kama alivyoijua ile ya Mzee kujiandaa kugombea kupitia CDM!
Bro, Pasco usiniambie uliweza kumjua mgombea wa CCM kabla ya mchakato wa Dodoma ila hukumjua mgombea wa CDM kabla ya mchakato wa Ufipa, hapa utakuwa umeniangusha!