Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Tetesi: Prof. Lipumba kuhamia ACT Wazalendo muda wowote

Status
Not open for further replies.
Ameshindwa kupita mlango wa nyuma? Ameshapoteza credibility, hata hapo kwenye chama cha mkoa wa Kigoma atafurushwa tu.
 
Lowassa alisafishwa kutoka shetani na kuwa malaika ishindikane Lipumba?
 
Zitto, Lipumba na Slaa walikuwa watu wa ccm kitambo sasa kama wataungana sijui itakuwa ni ccm 2! Wanajua wenyewe...
Lowassa hakuwa CCM, na wenyewe wanamuita muungwana.

Fikra za ndani ya box bhana, so biased
 
sishangai wala kushtuka kusikia habari hii maana uhuru ni wakila mtu kuchagua atakapo yeye bila kulazimishwa na ndiyo maana waliye muita nia fisadi papa .... haohao wakamtakatisha kwa siku moja na kumpa apeeperushe bndera ya chama ... nadhani lipumba kafanya maamuzi sahihi sana kujiunga na ACT-wazalendo
 
Mlizungumza haya kwa Lowassa wakati yupo ccm, sasa hivi mnamsafisha.

Lipumba ana haki ya kuhamia chama chochote kile....mengineyo ni kejeli tu dhidi yake.

Mnasema Lipumba anang'ang'ania uenyekiti, ila Mbowe hang'ang'anii uenyekiti.

This is double standard
Chama kama gereji bubu yaani ACT ni uchochoro wa watu kama kina Lipumba hana hata Impact mtu ambae hajawahi fikisha hata 1% kwenye uchaguzi
 
Tutahama nae sisi hatutaki masihara kabisa
 
CDM wanafikiri wao pekee ndio wana haki miliki ya kuwa wapinzani
 
Zito hawei mpisha,,,next election ana timiza 40+ atataka kugombea urais.
 
Tusipoipata haki ndani ya cuf tutaipata chama kingine cha wazalendo
 
Bora Angeachana Na Siasa Kama Dr Mihogo
Lakini Kwanza Kuelekea ACT Ni Kama Akubali Kuwa Mwanachama Tu Mwaminifu.
 
Hongera prof. nenda usaidiane na jembe Zitto mjenge chama achana na cuf ilishakuwa ya mtu mmoja ma siyo chama cha wananchi kama zamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom