nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,622
Kuna kikao kinaendelea sasa hivi makao makuu ya chama cha ACT Wazalendo cha kumpokea Prof. Lipumba.
Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
Karibu sana Prof. Lipumba kwenye chama.
WanaJF
Kuna tetesi zinasambaa kwa kasi kwamba aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha CUF Prof Ibrahim Lipumba anajiandaa wakati wowote kutoka sasa kutangaza kujiunga na ACT Wazalendo
Taarifa hizo zinazidi kubainisha kwamba mara atakapojiunga Mwenyekiti wa chama hicho Anna Mgwira atajiuzulu nafasi hiyo ili kumpisha Lipumba
Taarifa zaidi zitawajia hivi punde