mamseri
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 707
- 292
Ile karatasi ya kupigia kura haina namba hawawezi kujua nimeiangalia kwa makiniProf. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile karatasi ya kupigia kura haina namba hawawezi kujua nimeiangalia kwa makiniProf. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu...
Mimi nadhani hii ni nzuri, ili litasaidia kwa wale wanaosema kuna kura fake zimepigwa na wakajifanya kwenda kushitaki mahakamani, kura zitaletwa na kuchambuliwa.Hatari sana hii
kuna maandishi mengine ni madogo mno na mengine mpaka mwanga maalum kitengo kitayafanyia kazi wakati wa teuzi.Ile karatasi yakupigia kura haina namba hawawezi kujua nimeiangalia kwa makini
Hata kama kura ya Uchaguzi huu ingekuwa kusimama nyuma ya wagombea, singeweza thubutu kuthubutu kusimama nyuma ya Magufuli. Kura yangu ningesimama nyuma ya Tundu.Ng'ombe achnjwe alivyolala
Magufuli atakubambikizia kesi yoyote ile.Halafu wakishajua niliyempigia watanifanya nini
Mnaeleta habari nusunusu lengo ni kupotosha hakuna lingine. Weka maelezo yote, weka ushahidi wa barua inayoonyesha kweli huyo alikuwa wakala, weka namba ya kituo, namba ya msimamizi wa kituo, na utambulisho mwingine wa eneo husika, pia mpe nafasi ya kujieleza kwa uhuru huyo 'wakala', muonyeshe kwa picha zilizo clear siyo zenye ukungu!!!
Kwa mujibu wa katiba, mkinyinwa uchaguzi mtaanza kulialiaa kuwa mnatawaliwa kidiktektahilo ndiyo jibu sahihi siku zingine uache porojo. Swali la nyongeza mliitisha uchaguzi wa kazi gani
Hakuna haja ya kulalamika, vyama vyote vilikuwa na miaka mitano ya kudai tume huru ya uchaguzi vikawa vinauzunguka mbuyu, muda ukaisha wakakubali kuingia hivyo hivyo acha wapigwe.Wakala wetu kapigwa sana hapa Geita swali zangu Je Huu ni Uchaguzi wa aina gani??
Utadai Tume wakati umefungiwa kufanya SiasaHakuna haja ya kulalamika, vyama vyote vilikuwa na miaka mitano ya kudai tume huru ya uchaguzi vikawa vinauzunguka mbuyu, muda ukaisha wakakubali kuingia hivyo hivyo acha wapigwe.
Akiandika namba zako hapo hapo unamgomea,lakini kutokujitokeza kupiga kura huo ni udhaifu binafsi,maana haiwezkani mtu uhangaike kupiga makelele siku ya kampeni halafu uchaguzi upotee usionekana,hautachinja hapo utakuwa umejichinjaHuu uchaguzi ni upuuzi kama upuuzi mwingine, na ndio maana watanzania wengi wamepuuza zoezi zima. Idadi ya wapiga kura ni ndogo kuliko maelezo kwenye vituo. Mambo kama hayo nani yuko tayari kwenda kushiriki huo upuuzi?
Yeye kulisemea hilo wakati watu wakipiga kura tayari anashirikiana na CCM kuwatisha wananchi. Itawalazimu sasa kuichagua CCM ambayo ndiyo ina serikali.Prof. Lipumba ameibua hoja nzito kuhusu USIRI WA KURA kwenye Uchaguzi huu...
Huu ni uchafuzi mkuuWakala wetu kapigwa sana hapa Geita swali langu Je Huu ni Uchaguzi wa aina gani??
Walifungiwa kwa mujibu wa sheria ipi ?Utadai Tume wakati umefungiwa kufanya Siasa