Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni


Awafukuze uanachama aone kama hatakufa njaa maana haitapatikana hata senti kipande ya ruzuku, fala sana huyu mzee.
 
Hivi hakuna njia nyingine ya kufanya kwa Lipumba? Maana uwepo wake unarudisha nyuma jitihada za wenzake? Nauliza tuu, msije nifikiria vibaya nina maana nzuri tuu!
 
Unafikiri ni kwanini wabunge wa Cuf wametoka, hawamwogopi mshika mpini?
Wanaweza kua Wanamuogopa, ila pia ni watiifu kwa Maalim Seif ambae Serikali, Mahakama, Msajili, NEC etc wamemnyima au kumuondolea Power
 
Reactions: SDG
Machadema bana! Mko bize na ishu ya CUF yenu yanawashinda.
 
Kumbe mnataka wabunge wa maalim wahamie chadema!!!
 
Kwani nyie chadema kinawauma nini? Ugomvi wa ndugu nyie mnachagua upande!!
 
Kizazi chake kitajamuhukumu kama msaliti Wa mabadiliko ya kisiasa


Sijawahi kusikia kama ana watoto. Ivo laana yako imekwama labda ishike miti.....
 
Naona ccm inajiandalia kifo ukiuwa cuf ni fulsa ya chama kingine cha upinzani usitegemee washabiki wa cuf kujiunga na ccm tayar ukawa ishawaingia damuni watasubir kauli ya maalimu tu
 
Kumbe mnataka wabunge wa maalim wahamie chadema!!!

Sasa unategemea wale wataenda ccm? Kuna wabunge wa cuf wamepata kura kwa mgongo wa chadema ndani ya ukawa mm mwenyewe nilipigia kura diwani na mbunge wa cuf kwa kuwa wapo ukawa bila hivyo kura yangu ilikuwa inaenda chadema leo lipumba anapora haki yao na kura yangu kirahisi hivyo akishirikiana na ccm wakati alienda kura bata rwanda.
 
Labda cuf ife bara lkn sio zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda cuf ife bara lkn sio zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Kusudi lao nikuiuwa cuf zanzibar lakini wanasahau kuiuwa kwao cuf ni kuinufaisha ukawa maana uchaguz ujao sidhani kama wabunge waliogombea kupitia cuf watarudi kugombea kupitia cuf tena maana nadhan wanataman muula uishe wahame atakosa wabunge na kuinufaisha chadema hawafikiri
 
Mungu anaipenda Tanzania, Maalim amevunjwa miguu na mtumishi wake mwenyewe. Lipumba aliajiriwa tu na Maalim mmiliki wa Cuf, anaemilikishwa na Mwarabu aliepinduliwa Zanzibar 1964. Hasira ya kuvunja Muungano kwa kupitia chama chake cha kale enzi za ukoloni kilitwa hivi hivi kama leo yaani "Chama cha Wananchi" yaani kwa kiarabu "Hizbu" na ndio maana kwenye vikao vya siri Qatar Maalim alikutanishwa na Sultani wa Zanzibar, hiyo imetokeya baada ya Mfalme wa Qatar kuja Zanzibar tena kwa njia ya Bahari wakati wa mwisho wa Amani Karume mwaka 2009.
 
Kwanini Maalim alikutana na Sultan aliepinduliwa Zanzibar huko Qatar? Kwanini baada ya hapo Karume akamtuewa Maalim kuwa Makamu wa Rais? Kwanini Karume alimwalika Mfalme wa Qatar aje Zanzibar lakini kwa njia ya baharini tu? Kwanini baada ya hapo vikundi vya kigaidi kama UAMSHO viliwasha moto kudai Zanzibar huru wakitumia dini na kuuwa Wakristo, kuchoma makanisa? Wema wa JK haujatumiwa vibaya? Mungu ajalie tuje tupate Rais Dikteta japo mara moja.
 
Ipo haja ya kutafakari kwa pamoja UKAWA wote ni nini cha kufanya kwa LIPUMBA. Atawaumiza sana kwa sababu ni miongoni mwa viongozi wa serikali hii. Vyombo vyote vya dola vipo nyuma ya Lipumba. Analindwa, analipwa mshahara na anapewa kila kitu. Yote hayo ni kwa kazi moja tu ya kuua CUF na upinzani wote. Lipumba ameshakengeuka, yuko upande wa Shetani. Hana machungu kwa maumivu wanayopata wengine. Kama si vyombo vyote vya serikali kuwa upande wake hangeweza chochote. Anaringa kwa sababu ya nguvu ya dola aliyonayo.
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…