Tetesi: Prof. Lipumba kuwaandikia barua ya onyo wabunge wa CUF waliotoka nje Bungeni

Lipumba alitoka kwenye Bunge la Katiba na ndo alikuwa kiranja.
Leo anegeuka Intarahamwe

May Allah bless Me and You
 
Hao nao watapoteza ubunge kirahisi rahisi tu.....nimemsikia Ndugai asubuhi akiwakejeli wanaomwita yeye dhaifu...amesema sasa watauona udhaifu wake vizuri
Ni dhaifu kwa mihimili mingine pia ni dhaifu kwa wabunge wenzie wa CCM,
Kosa afanye Kibajaj adhabu umpe Mnyika.

May Allah bless Me and You
 
Jamani hivi huyu Profesa ndo huyu tunayemfaham ama mwingine?Huyu mzee kiukweli anatia hasira sana basi tu
ana bahati yupo huku Bongo kuna makondoo.
angekuwa Kenya ange-kameruni-wa huyu. hawanaga mchezo wale!
 
Ye alipotoka kipindi kile cha katiba chama chake kilimuandikia barua ya onyo?
 
Sikuwa aware. Kumbe kama Dr slaa na mke wa mtu. Basi wanasiasa sijui wanakuwa busy , hawaangaiki kutafuta wake wanataka finished goods mpaka kushtakiwa....
Nimechanganya huyo mume wa Georgia alikuwa anaitwa Kweka. Kweka na Green walikuwa marafiki sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maalim afanye tu maamuzi magumu ya ku-reconcile na Li Pumba
man..mbona mnakuwa na akili za woga hivi..Una reconcile na Lipumba kwa kipi?? kwa ajili ya madaraka...men...you guys ..are u mad???
kisa watu wabaki na madaraka ya Ubunge???ili iweje????
 
safi sana awatimue kabisa
 
Mkuu ni yule yule,wala hajabadilika kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mh! jamaa anaangaika kweli kuisambaratisha CUF, hivi huyu propesa ana mke na watoto.
 
Hivi hakuna njia nyingine ya kufanya kwa Lipumba? Maana uwepo wake unarudisha nyuma jitihada za wenzake? Nauliza tuu, msije nifikiria vibaya nina maana nzuri tuu!
.....unataka ku'Chakaza !?
 
wanastahili adhabu kali...huwezi kuungana na maadui wa chama ukabaki salama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…