#COVID19 Prof. Makubi: Wanasayansi Wazalendo wanakaribia kutengeneza Chanjo ya Corona ya Kitanzania

[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ulivyokomment nimeishia kucheka tu maana akili zetu wabongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soon tutaibuka na chanjo yetu ya kupaka sio sindano tena.
Nchi yetu ina wanasayansi "kimu" wengi kama alivyokuwa babu wa Loliondo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
KM hajui wengi wanaogopa chanjo kuliko Corona? hiyo pesa bora wangeitafutia kazi nyingine, Gwajima wakufufua misukule yupo.
 
hivi wale Taleban mbona hata balakoa hawavai...inaonekana harufu ya AK47 na moshi wake ni dawa pia...
 
Hapa ndiyo uwe hatua kubwa kufikia na kuwatambua wataalamu wa ndani waliyoweza kubuni na kutengeneza chanjo ili wapewe heshima. Je wametumia new chemical composition ipi ambayo haijawi tokea popote duniani?
 
Huu utani mwingine unaudhi badala ya kufurahisha.
 
Marekani na WHO wakiikataa?

Nani kawapa ruhusa?
Johnson na johnson nani azinunie?
 
Tuiite jiwevac
 
Very good Dr. Makubi kwa jitihada na bidii katika kazi.
Lakini isije ikawa kama ambavyo Club moja kubwa nchini ilivyochukua copy ya jezi ya timu fulani na kuweka nembo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…