Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo sio kutengeneza..., tatizo ni research ya kutosha na investment kubwa inayotumika
Sio bahati mbaya hizo chanjo yanagundua makampuni yenye funds na resources za kutosha (medicine inahitaji investments na funds) unaweza ukajaribu dawa 20, 18 zote zikawa hasara moja ukadhani inafanya kazi kumbe ina side effects ukawa sued ukapoteza mtaji wako zaidi ya nusu..., na moja tu ndio ikafanya kazi....
Hivyo basi sisi, ambao bidhaa zetu, na viwanda vyetu quality zake leaves a lot to be disered..., tungeachana na mambo ya chanjo kwanza...
Unadhani kama chanjo ikiua watu in the next few days hizo kampuni zitabaki kuwa kampuni ?, Au Kampuni ilikuwa founded kwenye 1800's itajikuta imekuwa historia due to bad publicity ?Corona hina kushitakiana ina kujitoa muhanga kwa kusaini mnyewe.
Unadhani kama chanjo ikiua watu in the next few days hizo kampuni zitabaki kuwa kampuni ?, Au Kampuni ilikuwa founded kwenye 1800's itajikuta imekuwa historia due to bad publicity ?
Huku sio kama kushona shati ukikosea unafumua unashona tena...
Nani ataithibitisha?
Vipi ndugu, mbona umeangua kicheko? Unacheka kwa furaha au huzuni?
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
UkichaaaaKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Kwa bahati mbaya Mama kashaeweka oda ya chanjo milion 20 tena! Sidhani kama iyo anaweza kuiamini akapqta ujasiri wakusema kuwa ile chanjo ya nje hatuitaki tutuimie yetuKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
WHO km kawaNani ataithibitisha?
Au tumuenzi mwendazakeBaadala ya Johnson & Johnson tuiite Juma & Juma🐒
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Labda chanjo ya kukata mauno TOT band wakti wa kampeniKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Hii chanjo ndio itakuwa hatari kwa maisha ya kiumbe hai chochote.
Tuiite jiwevac
Asante sana umesoma vizuri sana mawazo yangu. Kwa mara nyingine asante sana.Hizi ndizo habari tunataka kusikia, sio ujinga ujinga tu kama vingwendu.