Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Vipi hapo kabla tushawahi kutengeneza chanjo yetu wenyewe?
Nauliza tu
Nauliza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunazo "chanjo" nyingi tu kwa waganga wetu wa jadi ambazo unachanjwa kwa mfumo wa chale[emoji1787][emoji1787]Hahaha, yaani mnataka kufanya re-labelling ya Johnson&Johnson halafu mseme ya Tz?!![emoji23][emoji23], tangu tupate uhuru, Tz imeshawahi kutengeneza chanjo ngapi? Labda tuanzie hapo
Nashauri hiyo chanjo wawachanje polisi kama sehemu ya majaribio[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Askari wa wanyama pori wawasaidie wanasayansi wazalendo kukamata ngederere na nyani wa majaribio kwa ajili ya hii chanjo ya nchi/taifa.
PolisiNani atajaribiwa nayo?
Hi itakuwa ni ileile JJ inakuja kivingine ili kuhadaa watz wadungwe.Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
😆😆😆😆Kipaumbele chetu siyo tena ile 'dawa' ya Madagascar?😁😁😁
View attachment 1895949
Umeniwahi, nilikua na mawazo Kama yako!!Hi it's kuwa ni ileile JJ inakuja kivingine ili kuhadaa watz wadungwe.
Haijawahi gundua chanjo hata moja Leo harakaharaka hivyi ujuzi huo umetoka wapi?
Huyu mama kakurupuka Sana anaropoka ropoka tu.Utafikiri anafanya Comedy.Umeniwahi, nilikua na mawazo Kama yako!!
Vichupa vile vitachukuliwa na kubandikwa made in tz na bendera juu...
Siwezi kutumia chanjo ya kipumbavu hiyoKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona...
Wazee wa NIMR Caf 😆😆😆😆Hii chanjo ndio itakuwa hatari kwa maisha ya kiumbe hai chochote.
Hii chanjo ndio itakuwa hatari kwa maisha ya kiumbe hai chochote.
Hawa ndio walikuwa na mwendazake katika hekaya zake wakamsababishia yaliyompata, sasa wameachwa tena wanaendelea na hekaya zao.Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Kuanzisha viwanda bila upembuzi yakinifu ni uwenfawazimu. Kwenye suala la viwanda tuko bado sana hususan vya kuendeshwa na Serikali.Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona..
Bwashee unaelekea Lushoto?Burdani tosha