imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Arachuga.Bwashee unaelekea Lushoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Arachuga.Bwashee unaelekea Lushoto?
Halafu huyu Makubi si ndio huyu aliyekuwa daktari wa jiwe? Kama alishindwa hata kututangazia yaliyompata Jiwe hii chanjo si itatupeleka alipo Jiwe.cha ajabu wamekandia za kutoka nje wakidai chanjo lazima iwe kwenye majaribio si chini ya miaka kumi ,. sasa hv nao wanatoa yao.. hii ndo itakuwa ya hatar sababu ni ya kimihemuko
Hhahahahaha......................hii ni chai ya siturungi, hata hilo wazo walikuwa nalo? kwa hiyo beberu akifungua operation zake za kutengeneza chanjo hapa tandale kwa mfuga mbwa tayari hao ni wanasayansi wazalendo......Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Iliyopo imethibitishwa na nani?Nani ataithibitisha?
Hawa hawa, aisee hawa wanaweza kutuua kimasihara kabisa, eti wanatengeneza chanjo ya corona[emoji848][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii chanjo ndio itakuwa hatari kwa maisha ya kiumbe hai chochote.
Sawa,tutaanza kuwachanja wenyewe kwanzaKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu ulivyokomment nimeishia kucheka tu maana akili zetu wabongo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soon tutaibuka na chanjo yetu ya kupaka sio sindano tena.
Nchi yetu ina wanasayansi "kimu" wengi kama alivyokuwa babu wa Loliondo[emoji23][emoji23][emoji23]
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tatizo sio kutengeneza..., tatizo ni research ya kutosha na investment kubwa inayotumika...
Soon mtaanza kuchanja matango pori. Je unafikiri wapinzani wa hizi chanjo hawatazipinga kwani watadai inatakiwa mchukue miaka 10 hadi 15 Bwana Katibu Mkuu.Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona...
Swali zuri sana, hasa kutokana na ukiritimba uliopo WHO na mishiko wanayopewa na kampuni kubwa za dawa kama Johnson & Johnson, Glaxo, Procter & Gamble nkNani ataithibitisha?
Actually waliogundua chanjo / aliyegundua wala hakusoma ilikuwa through observation (good luck)... romour has it ilikuwa ni mtumwa mtu mweusiHongereni na natumaini inawezekana; kwani hao waliogundua chanjo wamesoma mbinguni;
Walio forefront katika haya mambo ya medicine ni corporations, mashirika makubwa na investment kubwa.., issue sio uelewa tu, bali ni investment ya muda na funds za kutosha, unaweza ukafanya projects 100; ikafanikiwa moja; na ikishafanikiwa kuna wizi na watu kutumia investment yako ya uguduzi wao kutengeneza na kuuza cheap; (sasa wewe ili kurudisha pesa zako inabidi uwe a powerhouse ili uweze kuweka patents na kuwa-sue wanaoiga bila kukulipa)si wengine mlisoma nao mkawagaraza darasani... mbona nchi nyingine wanaweza?
Katika afya za watu hili sio kama kutengeneza viatu kwamba visipodumu unanunua kipya.., hizi ni afya za watu..., Nakumbuka kuna chanjo ilileta madhara Nigeria, kampuni husika ikawa sued na kuwafidia walioathirika (hata kama fidia haiwezi kurudisha uhai ila inaleta responsibility na watu kuwajibika).Inabidi kuwa wabunifu tu kuangaliana na mazingira yetu (chanjo zinazohitaji kuhifadhiwa kwenye baridi kali hazituwezi); chanjo zinazoharibika mapema hazituwezi... chanjo ni sayansi tu.. kama mnavyo vinavyotakiwa kwanini msiweze.?
I FULLY SUPPORT YOUR EFFORTS.. ni bora ujaribu ushindwe, kuliko ushindwe usijaribu!
Watachomwa wazalendo!Hiyo wakamchome Gwajima (Askofu) na waumini wake
Hii picha ina maswali mengi .Ile juisi ya wizara kwa hisani ya Dr. Gwajima & husband imefeli kwani?View attachment 1895956
Kwenye Afya binafsi hamna uzalendo bwasheeWatachomwa wazalendo!