johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Amina!Jambo la heri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amina!Jambo la heri
Tunaisubiria hiyo. Hiyo hata kwa majaribio niko tayari.Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Hahaha, yaani mnataka kufanya re-labelling ya Johnson&Johnson halafu mseme ya Tz?!!😂😂, tangu tupate uhuru, Tz imeshawahi kutengeneza chanjo ngapi? Labda tuanzie hapoKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Mmmh kama ile ya madagasca?Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Hata huu ni ujinga tu yakhe hawajiweziHizi ndizo habari tunataka kusikia, sio ujinga ujinga tu kama vingwendu.
Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Safi sanaKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
[emoji23][emoji23]Katibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Familia za hao wanasayansi ziwe Demo katika kuchomwa hiyo chanjoKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.
Prof Makubi amesema wanasayansi wazalendo hawajalala katika utafiti na wako mbioni kutupatia chanjo ya Corona ambayo itakuwa ni ya kwetu wenyewe.
Source: ITV habari
Ataje wako chuo gani au maabara ganiKatibu mkuu wa wizara ya afya Prof Makubi amesema kama taifa tunakaribia kupata chanjo yetu ya Corona.