Hongereni na natumaini inawezekana; kwani hao waliogundua chanjo wamesoma mbinguni;
Actually waliogundua chanjo / aliyegundua wala hakusoma ilikuwa through observation (good luck)... romour has it ilikuwa ni mtumwa mtu mweusi
Onesimus (late 1600s–1700s[1]) was an African man who was instrumental in the mitigation of the impact of a smallpox outbreak in Boston, Massachusetts. His birth name is unknown. He was enslaved and, in 1706, was given to the New England Puritan minister Cotton Mather, who renamed him. Onesimus introduced Mather to the principle and procedure of inoculation to prevent the disease, which laid the foundation for the development of vaccines.
si wengine mlisoma nao mkawagaraza darasani... mbona nchi nyingine wanaweza?
Walio forefront katika haya mambo ya medicine ni corporations, mashirika makubwa na investment kubwa.., issue sio uelewa tu, bali ni investment ya muda na funds za kutosha, unaweza ukafanya projects 100; ikafanikiwa moja; na ikishafanikiwa kuna wizi na watu kutumia investment yako ya uguduzi wao kutengeneza na kuuza cheap; (sasa wewe ili kurudisha pesa zako inabidi uwe a powerhouse ili uweze kuweka patents na kuwa-sue wanaoiga bila kukulipa)
Inabidi kuwa wabunifu tu kuangaliana na mazingira yetu (chanjo zinazohitaji kuhifadhiwa kwenye baridi kali hazituwezi); chanjo zinazoharibika mapema hazituwezi... chanjo ni sayansi tu.. kama mnavyo vinavyotakiwa kwanini msiweze.?
I FULLY SUPPORT YOUR EFFORTS.. ni bora ujaribu ushindwe, kuliko ushindwe usijaribu!
Katika afya za watu hili sio kama kutengeneza viatu kwamba visipodumu unanunua kipya.., hizi ni afya za watu..., Nakumbuka kuna chanjo ilileta madhara Nigeria, kampuni husika ikawa sued na kuwafidia walioathirika (hata kama fidia haiwezi kurudisha uhai ila inaleta responsibility na watu kuwajibika).
Ni mengi ya kujaribu ila sio kwenye afya za watu, (sio kwamba hatuna akili bali investment inayohitajika ni kubwa na return on investments sio guaranteed) Hata wahindi wenye pharamaceuticals nyingi wanachofanya ni research kufanywa na wengine wenyewe wanafanya productions
Kwahio kabla hatujaanza kwenye chanjo hizo akili tupeleke kwenye irrigation, kuhakikisha tunajitegemea kwenye mavazi, Battery, Toothpicks, Radio, n.k. hayo mengine nashauri hao magwiji wetu madaktari badala ya kufanya haraka kwenye Corona waendelee kufanya research kwenye miti shamba yetu ambayo imekuwa ikitumika kutibu, magonjwa yetu miaka na miaka kuona ni kwanini inafanya kazi na kuiboresha zaidi.
Au wale wanaosema kila siku wanatibu mifupa, ukimwi, cancer n.k. waulizwe na tiba zao ziwe documented na accredited by WHO ili tuwasaidie ndugu zetu wa ulimwengu mzima