Prof. Manya aapishwa kuwa Naibu waziri wa Madini. Rais Magufuli ataka wachezaji waliochaguliwa wakachape kazi kwani ana 'Reserve' wengi

Hahaha chuo chetu cha Amazon Institute kimeanzisha mitaala ya viapo, mnakaribishwa wote wenye PhD zenu.
 
In Tanzania everything is possible.

Shame on them. Two days ago I saw Nyoka wa makengeza seating somewhere in Masaki sipping coffee or something...in my heart I said, what these old guys did were completely wrong and in order to be fair to us, some of those things must be corrected before they go to their tombs
 
Ujue kukubali kudhalilika vile na kuukosa uwaziri sio mchezo.

Naamini kuna kitu hakikuwa sawa kwa Francis kisaikolojia na Meko akaamua amfanyie finishing
Ndo hivyo yule jamaa ni perfectionist sana hataki uzembe hata kiasi kidogo umekwenda na maji.
 
Duh, haya bhana. Yawezekana uko ndani ya duara na unajua kinachojiri.
Chura akitoka kwenye maji ya kisimani akakuambia hayo maji ni ya moto inakubidi uamini tu mkuu.
Mkuu sipo kwenye duara ila namshukuru Mungu amenipa uwezo wa kutambua mambo yanavyoenda.
 
Ukiwa na mawazo ya kimasikini huwezi saidia watu wawe matajiri, sasa anawapunguzia mishahara ili apate nini, Tanzania ya Leo watu wanatakiwa kuishi kama mashetani
 
Hawa jamaa wanatuchukulia poa sana sisi raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…