Prof. Manya aapishwa kuwa Naibu waziri wa Madini. Rais Magufuli ataka wachezaji waliochaguliwa wakachape kazi kwani ana 'Reserve' wengi

Prof. Manya aapishwa kuwa Naibu waziri wa Madini. Rais Magufuli ataka wachezaji waliochaguliwa wakachape kazi kwani ana 'Reserve' wengi

Hahaha chuo chetu cha Amazon Institute kimeanzisha mitaala ya viapo, mnakaribishwa wote wenye PhD zenu.
 
In Tanzania everything is possible.

Shame on them. Two days ago I saw Nyoka wa makengeza seating somewhere in Masaki sipping coffee or something...in my heart I said, what these old guys did were completely wrong and in order to be fair to us, some of those things must be corrected before they go to their tombs
 
Ujue kukubali kudhalilika vile na kuukosa uwaziri sio mchezo.

Naamini kuna kitu hakikuwa sawa kwa Francis kisaikolojia na Meko akaamua amfanyie finishing
Ndo hivyo yule jamaa ni perfectionist sana hataki uzembe hata kiasi kidogo umekwenda na maji.
 
Duh, haya bhana. Yawezekana uko ndani ya duara na unajua kinachojiri.
Chura akitoka kwenye maji ya kisimani akakuambia hayo maji ni ya moto inakubidi uamini tu mkuu.
Mkuu sipo kwenye duara ila namshukuru Mungu amenipa uwezo wa kutambua mambo yanavyoenda.
 
Ukiwa na mawazo ya kimasikini huwezi saidia watu wawe matajiri, sasa anawapunguzia mishahara ili apate nini, Tanzania ya Leo watu wanatakiwa kuishi kama mashetani
 
Pale kulikuwa na FUTUHI tu!! Inaonekana Alikosea kufanya Uteuzi baada ya kugundua makando kando mengi sana,inaonekana aliingizwa chaka na ndipo ikabidi itafutwe means ya kumtemesha NDOANO!!

Hakuna mwanasiasa hasa kama Francis aliyepitia vyeo vingi vya kisiasa akashindwa eti kusoma hotuba eti kwasababu ya Hofu ,ni uongo mtupu.
Hawa jamaa wanatuchukulia poa sana sisi raia.
 
Back
Top Bottom