Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyeuziwa nyumba za serikali kipindi akiwa mwanafunzi UDSM. Leo ni manager pale tume ya madini sector ya migodi na mazingira.
In Tanzania everything is possible.How could that be possible?
In Tanzania everything is possible.
No sema watu wa Kilwa sio wazuri.Hivi kweli unaamini Francis alikuwa anashindwa kusoma?
Ndo hivyo yule jamaa ni perfectionist sana hataki uzembe hata kiasi kidogo umekwenda na maji.Ujue kukubali kudhalilika vile na kuukosa uwaziri sio mchezo.
Naamini kuna kitu hakikuwa sawa kwa Francis kisaikolojia na Meko akaamua amfanyie finishing
Mkuu sipo kwenye duara ila namshukuru Mungu amenipa uwezo wa kutambua mambo yanavyoenda.Duh, haya bhana. Yawezekana uko ndani ya duara na unajua kinachojiri.
Chura akitoka kwenye maji ya kisimani akakuambia hayo maji ni ya moto inakubidi uamini tu mkuu.
Ah huku kwenye ma tectonics alikua sio engo zake..yeye alikua vzur kwenye geochemistry,Mlimwelewa plate tectonics ?
"Alivyoingia Ikulu" kwani alitoka wapi wakati makazi yake ni Ikulu.
Hawa jamaa wanatuchukulia poa sana sisi raia.Pale kulikuwa na FUTUHI tu!! Inaonekana Alikosea kufanya Uteuzi baada ya kugundua makando kando mengi sana,inaonekana aliingizwa chaka na ndipo ikabidi itafutwe means ya kumtemesha NDOANO!!
Hakuna mwanasiasa hasa kama Francis aliyepitia vyeo vingi vya kisiasa akashindwa eti kusoma hotuba eti kwasababu ya Hofu ,ni uongo mtupu.
😆 jina hiloHongera mwaya