Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Mmmmh Barbarosa , unanitia mashaka sana kwa kutomfahamu Prof. Mwandosya ni nani Tanzania


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu huyu ni uvccm wa aina ya bashite ams muro ,hao ndo tunategemea watuletee Tanzania ya viwanda
 
Lipumba ni Professor anafundisha wapi?
Kwani kila Professor ni lazima afundishe?
Unajua maana na tafsiri ya Professor wewe?
MATAGA at work even in senselessly issues!

Sent using Jamii Forums mobile app


Ndiyo! Kila Profesa lazima afundishe, au kufanya research Chuoni au Research Institute yoyote, kama hafundishi na kastaafu anaitwa emeritus Profesa!
 
Cha ajabu kipi hapo?

Chadema wanadandia kila jambo
 
umewataja vijana wa nyerere waliopelekwa ulaya nje ya nchi ili waje kusaidia taifa umemtaja hapo ben mkapa,jk kikwete,salim a salim,mwandosya.n.k

sasa mbona badala ya kusaidia taifa wamezidi kulizamisha taifa,
mikataba mibovu na ya aibu chini ya tawala za kama ben mkapa,mkapa anaongoza kwa kufanya madudu mengi wakati wa utawala wake.

napata mashaka na elimu ya vijana wa nyerere waliyopatiwa huko ulaya na mabeberu kuja kusaidia taifa ni elimu ya aina gani mpaka wanafanya madudu ya aibu wao wakiwa watawala ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukisikia Bongo kuna Maproffesa wawili tu basi ni Prof. Mwandosya na Prof. Luhanga


Mbona wapo wengi sana wanaotumia hiyo Profesa au wao ndio wana hati miliki, BTW kama umewasifia hivyo ni lazima kuna makubwa wamefanya unaweza kuyaweka hapa?
 
Duuh! Jamaa kauliza ndio unamwita mpumbavu siyo fair mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia nzima ni hivyo, labda Tanzania ni tofauti sijui, lkn Profesa kama siyo wa heshima na ni wa kusomea huwa wanakuwa kwenye research vyuoni na kufundisha, kufanya tafiti kwenye fani zao.
Hivi kuna Proffessor wa kusomea?!
 
Mkuu hayo matago pori uliyolishwa na Magufuli kuhusu wasomi mpaka uje upate maziwa,corona ishafanya yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…