Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lipumba ni Professor anafundisha wapi?Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Jamaa jinga sana hili, mi nilidhani limekufa kwa CoronaKubwa ka majuha umerudi tena!?
Lipumba ni Professor anafundisha wapi?
Kwani kila Professor ni lazima afundishe?
Unajua maana na tafsiri ya Professor wewe?
MATAGA at work even in senselessly issues!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sheria gani inayomlazimisha kufundisha?Ndiyo! Kila Profesa lazima afundishe, kama hafundishi kastaafu anaitwa Emiritus Profesa!
Haha kwa uelewa wako ni maan ya profHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Ni sheria gani inayomlazimisha kufundisha?
Unajua maana ya Professor?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana leo pia king'ora kimeliaKwani kaongea ubaya gani bwashee?
Wakazi wa kwa Kondo wamemwelewa!
ukisikia Bongo kuna Maproffesa wawili tu basi ni Prof. Mwandosya na Prof. LuhangaHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Amekiuka Sheria inayotufunga sisi hoe hae ya kutoa taarifa
umewataja vijana wa nyerere waliopelekwa ulaya nje ya nchi ili waje kusaidia taifa umemtaja hapo ben mkapa,jk kikwete,salim a salim,mwandosya.n.kWewe ni moja wa wapumbavu
Huyo Mark ni Professor wa Electronics and Electrical engineering,Hao ndio vijana wa Nyerere aliowaamini na kuwatuna wakapate maarifa ulaya na kuja kulitumikia Taifa
Amefundisha University of Dar es Salaam sana
Wapo akina Homel Mwakyusa hao ni vijana wa Nyerere
Unapoongelea vijana wa Nyerere basi hilo ni kundi la kina JK,Ben Mkapa,Salim Ahmed,Mwakyusa,Mwandosya
Kiongozi huyo Mwandosya na Mwakyusa ni moja ya watu hatari sana sana
Wamekwisha staafu
Kama umesoma vyuo vya kata na elimu ya kuunga unga huwezi yajua hayo ndio maana mnakosa heshima kwa wazee
You are gifted fool
ukisikia Bongo kuna Maproffesa wawili tu basi ni Prof. Mwandosya na Prof. Luhanga
Mhandisi huyo. Ulizia kule UDSM Engineering. Alikuwa professor hasa, siyo kama wale wa jalalani.Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Hana mamlaka yeyote yeye ni kama weye na mimi tuKwa hiyo akaamua kukimbilia twitter badala ya kujaribu kutatua tatizo?
Wewe ni moja wa wapumbavu
Huyo Mark ni Professor wa Electronics and Electrical engineering,Hao ndio vijana wa Nyerere aliowaamini na kuwatuna wakapate maarifa ulaya na kuja kulitumikia Taifa
Amefundisha University of Dar es Salaam sana
Wapo akina Homel Mwakyusa hao ni vijana wa Nyerere
Unapoongelea vijana wa Nyerere basi hilo ni kundi la kina JK,Ben Mkapa,Salim Ahmed,Mwakyusa,Mwandosya
Kiongozi huyo Mwandosya na Mwakyusa ni moja ya watu hatari sana sana
Wamekwisha staafu
Kama umesoma vyuo vya kata na elimu ya kuunga unga huwezi yajua hayo ndio maana mnakosa heshima kwa wazee
You are gifted fool
Hivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Hivi kuna Proffessor wa kusomea?!Dunia nzima ni hivyo, labda Tanzania ni tofauti sijui, lkn Profesa kama siyo wa heshima na ni wa kusomea huwa wanakuwa kwenye research vyuoni na kufundisha, kufanya tafiti kwenye fani zao.
Mkuu hayo matago pori uliyolishwa na Magufuli kuhusu wasomi mpaka uje upate maziwa,corona ishafanya yakeAmetusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!
Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji
Sent using Jamii Forums mobile app