Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Alipewa na chuo kimoja huko china na kila mtu alishangaa,it was abnormal,yaani mtu anapewaje uprof ,nadhani hata yeye hakwekwenda kuupokea maana aliona ni joke
Hahahah vasco da gama alisiende tena. Ila nilikuwa najua kuwa kuna uprofesa mwingine unapewa kutokana na uvumbuzi au jambo special ambalo mtu kafanya lenye manufaa katika nchi au jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohh kumbe, nilifikiri ni kuokoa maisha kwanza halafu ndio twitter.
Tahadhari ndio kuokoa maisha ya WENGI. Huyo sio wa kuimba mapambio kama hao mnaowapenda na kusifu IQ zao.
Uzuri muda utakuja weka sawa yote.
 
Ni kweli Nyerere alitengeneza kizazi kinachoabudu utawala, kinachoimba mapambio tu hata kama hayana maana.

Ni kizazi kilichokuwa na njaa ya kutisha lakini hakikuwa na chembe ya uzalendo hata kidogo.

Ni kizazi hiki cha Nyerere ndiyo kiligeuza rushwa kuwa mfumo rasmi wa maisha ya viongozi na kwamba kupewa nafasi ya uongozi ulikuwa ulaji na siyo utumishi.

Inasikitisha sana kizazi hiki wakati Nyerere anakitengeneza alihakikisha kinasoma bure, kula bure, kulala bure na kunya bure lakini ndiyo kilichokuja kuwatumbukiza watanzania kwenye maisha ya ajabu kuwahi kuyapata.


It is the worthless generation this nation has ever had.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mtu kasoma zuoni college mochwari maintenance atamjulia wapi nguli huyo !!pale dit ameweka record ambayo labda itavunjwa 2090

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikatanguliza neno " Nadhani" kwani huo ni mtazamo wangu kwamba kuna umri mtu ukifika matumizi ya mitandao ya kijamii unaachana nayo.
Tweeter mbona ndio uwanja wa maelites dniani kote? Akina Obama, Clinton, Ramaphosa, Odinga, Trump, Kikwete n.k wote wapo active tweeter, au huingiagi Tweeter?
 
Tahadhari ndio kuokoa maisha ya WENGI. Huyo sio wa kuimba mapambio kama hao mnaowapenda na kusifu IQ zao.
Uzuri muda utakuja weka sawa yote.


Kwa kawaida angewasiliana na Mamlaka husika kwanza moja kwa moja ili kujua kulikoni halafu ndio angeenda twitter, sasa anashindana na Mangi Kimambi kuwa wa kwanza? Kumbuka mgonjwa kutoroka ni kawaida wengine wana psychological problems, ...
 
Ujinga wa mgonjwa uishambulie wizara na Rais?

Na hii imebabishwa na hotuba ya Rais na wizara yetu ya afya?...

Moscow Coronavirus Patient Escapes Hospital Quarantine - The Moscow Times
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…