Entim
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 4,025
- 2,261
Idiot! Kwa hiyo asitweet? Prof anatweet mara moja kwa mwaka, akitweet inatrend globally..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Sent using Jamii Forums mobile app