kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,183
- 1,619
achana na maroboti yaliyojazwa humu kwa mission maalum[emoji3][emoji3]Are you kidding?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana na maroboti yaliyojazwa humu kwa mission maalum[emoji3][emoji3]Are you kidding?
Sina mahaba naye. Nilitaka kumjibu Barbarosa aliyesema kuwa anadhani Prof. amezeeka kiasi cha akili yake kutokuwa katika umakini. Kama ni hivyo anavyosema Barbarosa, unadhani hao wanaomwalika kwenye mihadhara hiyo ni wajinga kiasi cha kushindwa kujua huyu mtu bado ana akili timamu au hana?Una mahaba naye mkuu kwakua ulisafir nae au kuna la ziada maana imebakia kidogo tu useme hakuna wa kumzidi duniani.
Kwamba ukiitwa profesaa lazima ufundishe? Prof Lipumba na Prof Kitila wanafundisha wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado wanafundisha?Ni lazima afundishe.
Hata hao kina Lipumba na Kitila wote walikua wanafundisha UDSM.
Unapokuwa ni mshauri kwa mtu aliye juu yako kimadaraka si lazima akubaliane na ushauri wako, wewe unaishia kushauri tu!Ametusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!
Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri wa miaka mingapi?Nadhani kuna umri mtu ukifikia kuna mambo inapaswa kuwaachia vijana, matumizi ya vitu kama facebook, tweeter n.k.
Huwezi kuwa Prof Kama wewe si muhadhiri chuo kikuu maana uprof unatolewa na Baraza la chuo kikuu baada ya kutimiza vigezo.Uprof ukishaupata utabaki nao mpaka unaingia kaburini. Hao uliowataja wote walikuwa walimu hapo jalalani kwa nyakati tofautiKwamba ukiitwa profesaa lazima ufundishe? Prof Lipumba na Prof Kitila wanafundisha wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta biography zao utanielewa
Kitila anaweza akawa anafundisha Ila sina hakika Ila lipumba ameshastafu.Ukishaupata uprof hauondoki hadi unaingia kaburini
AlishastaafuHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Mzalendo wa KWELI moja ya majukumu yake ni kuujulisha umma juu ya hatari iliyo mbele yetu inavyoongezeka kwa kasi hasa kwa wanyonge. BRAVOSasa mbona anakuwa kama mtoto au ndo Uzee?
Kwamba ukiitwa profesaa lazima ufundishe? Prof Lipumba na Prof Kitila wanafundisha wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Boya kweli weweHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Profesa kikwete alikuwa mhadhili wa chuo gani?Huwezi kuwa Prof Kama wewe si muhadhiri chuo kikuu maana uprof unatolewa na Baraza la chuo kikuu baada ya kutimiza vigezo.Uprof ukishaupata utabaki nao mpaka unaingia kaburini. Hao uliowataja wote walikuwa walimu hapo jalalani kwa nyakati tofauti
Nenda mlimani utapata MajibuHivi huyo Mzee ni Profesa wa fani gani? Mbona hafundishi popote?
Mzalendo wa KWELI moja ya majukumu yake ni kuujulisha umma juu ya hatari iliyo mbele yetu inavyoongezeka kwa kasi hasa kwa wanyonge. BRAVO
Basi inaonekana ni bwana mddogo au umesoma vyuo vya st kayumba au hukwenda kabisa chuoni, kama ungepita UDSM usingeuliza lile swali kuhus prof Mwandosya maanaa alikuwepo pale kabla ya akina kitilaNijuavyo Kitila alikuwa Mwalimu Chuoni tena mkuu wa kitengo fulani nafikiri, Lipumba sina infos zake lkn kwa kawaida Profesa kama hajastaafu huwa anafundisha na kufanya research Chuoni au Institute mbalimbali za kitafiti.
Alipewa na chuo kimoja huko china na kila mtu alishangaa,it was abnormal,yaani mtu anapewaje uprof ,nadhani hata yeye hakwekwenda kuupokea maana aliona ni joke
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217