Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Prof. Mark Mwandosya: Mgonjwa wa COVID 19 amekamatwa km 160 kutoka Mbeya mjini baada ya kutoroka hospitali

Una mahaba naye mkuu kwakua ulisafir nae au kuna la ziada maana imebakia kidogo tu useme hakuna wa kumzidi duniani.
Sina mahaba naye. Nilitaka kumjibu Barbarosa aliyesema kuwa anadhani Prof. amezeeka kiasi cha akili yake kutokuwa katika umakini. Kama ni hivyo anavyosema Barbarosa, unadhani hao wanaomwalika kwenye mihadhara hiyo ni wajinga kiasi cha kushindwa kujua huyu mtu bado ana akili timamu au hana?

Maneno yale ya Barbarosa ni kumkeheli Prof., ambaye kwa vyovyote katika uelewa Barbarosa hana ulinganifu wa aina yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametusaidia Nini Sasa na elimu yake hiyo tofauti na mateso tunayoyapata leo, mnataka kumlaumu Rais aliyepo madarakani mnasahau hawa wasomi waliotufikisha hapa, think big!

Eti mbobezi wa Electronics mavi kabisa,,,,kaisaidiaje nchi tofaut na kujifanya mwema baada ya kukosa ulaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Unapokuwa ni mshauri kwa mtu aliye juu yako kimadaraka si lazima akubaliane na ushauri wako, wewe unaishia kushauri tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba ukiitwa profesaa lazima ufundishe? Prof Lipumba na Prof Kitila wanafundisha wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa Prof Kama wewe si muhadhiri chuo kikuu maana uprof unatolewa na Baraza la chuo kikuu baada ya kutimiza vigezo.Uprof ukishaupata utabaki nao mpaka unaingia kaburini. Hao uliowataja wote walikuwa walimu hapo jalalani kwa nyakati tofauti
 
Tafuta biography zao utanielewa

Kwa hiyo nikitaka kujua aliyoyafanya Profesa ,,pekee” nchi nzima kama ulivyosema ni lazima nianze kuhangaika kutafuta alichokifanya? Nilifikiri ni automatic iko wazi kujua amefanya xyz.
 
Kwamba ukiitwa profesaa lazima ufundishe? Prof Lipumba na Prof Kitila wanafundisha wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nijuavyo Kitila alikuwa Mwalimu Chuoni tena mkuu wa kitengo fulani nafikiri, Lipumba sina infos zake lkn kwa kawaida Profesa kama hajastaafu huwa anafundisha na kufanya research Chuoni au Institute mbalimbali za kitafiti.
 
Huwezi kuwa Prof Kama wewe si muhadhiri chuo kikuu maana uprof unatolewa na Baraza la chuo kikuu baada ya kutimiza vigezo.Uprof ukishaupata utabaki nao mpaka unaingia kaburini. Hao uliowataja wote walikuwa walimu hapo jalalani kwa nyakati tofauti
Profesa kikwete alikuwa mhadhili wa chuo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzalendo wa KWELI moja ya majukumu yake ni kuujulisha umma juu ya hatari iliyo mbele yetu inavyoongezeka kwa kasi hasa kwa wanyonge. BRAVO

Ohh kumbe, nilifikiri ni kuokoa maisha kwanza halafu ndio twitter.
 
Nijuavyo Kitila alikuwa Mwalimu Chuoni tena mkuu wa kitengo fulani nafikiri, Lipumba sina infos zake lkn kwa kawaida Profesa kama hajastaafu huwa anafundisha na kufanya research Chuoni au Institute mbalimbali za kitafiti.
Basi inaonekana ni bwana mddogo au umesoma vyuo vya st kayumba au hukwenda kabisa chuoni, kama ungepita UDSM usingeuliza lile swali kuhus prof Mwandosya maanaa alikuwepo pale kabla ya akina kitila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa la huyu mgonjwa ni kama hawezi kujifukiza, kujifukiza ni tiba! Hospital wanatoa dawa ya kikohozi tu [emoji10][emoji10][emoji10]
Tweet hii ya Prof. Mark Mwandosya aliyoitoa leo inaacha ujumbe mzito kwa wizara ya afya ambayo kimsingi imegeuka kuwa wizara ya kutoa matangazo zaidi. Mbaya zaidi kwa sasa wizara hiyo imevurugwa baada ya hotuba ya juzi na hawajui waende na lipi. Kujifukiza ama? Wagonjwa wameamua kujiongeza.
View attachment 1431217

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom