TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

TANZIA Prof. Mathew Luhanga, aliyekuwa Makamu Mkuu wa UDSM kuanzia 1991 hadi 2006 afariki dunia

Nakumbuka siku moja tukiwa Mlimani UDSM, nilimsikia akisema alikuwa ana mheshimu Prof. Mark James Mwandosya tu!!!

R.I.P Prof. Mathew Luhanga!
Yes!!! Tanzania hakuna prof zaidi yake na mark mwandosya.
Wengine wanapeana tu.
Mtu akikusimamia afu anakuchukia ama hakupendi anatafuta sababu za wewe kukuangusha.
Kuna story Dr Mfinanga na Masaoe mmoja akampeleka mahakamani Mana anambania mwenzake asiwe dokta.
Hata Dr Nyaoro aliukataa Prof Mana ni kupeana Kama wanavyopeana vyeo ,teuzi, kazi, n.k mpaka ujishushe ujinyenyekeze. Prof kanyimwa penzi Mara Caroline akadisco in Roma voice.

Pumzika kwa amani baba,profesa, mtumishi uliyetumikia Taifa lako na kuzalisha watalaamu wanajidai walipo.
 
Vice chancelor wangu kafariki! Maombi yangu kwa Mungu wetu, tunaomba umpuzishe kwa amani. Kwa mema mengi aliyoyatenda yakawe sababu ya kusamehewa alipopungukiwa.

Wanafamilia wa marehemu, siyo pekee yenu mliguswa ja msiba huu. Hata sisi msiotufahamu tumehuzunishwa. Lakini tumshukuru Mungu kwaajili ya kuletewa huyu ndugu yetu aliyeyagusa maisha yetu kwa namna mbalimbali.
 
Eti kwasababu wao waliupata u-Professor bila kupitia Masters![emoji38][emoji38]

R.I.P Prof. Mathew Luhanga!

Siyo kweli Prof Luhanga alisoma Masters ila Prof Mwandosya hakusoma Masters.
 
Back
Top Bottom