Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Asante kwa maelekezoMajor General Luhanga alikuwa Mhehe, Professor Luhanga ni wa kutoka Mbeya mwenye asili ya Malawi. Ni Luhanga tofauti hao!
Mimi mke wa consultant Eng.......Wewe ni mke wa Pascally Mayala wa jf?
Ooh okay, thanks!Major General Luhanga alikuwa Mhehe, Professor Luhanga ni wa kutoka Mbeya mwenye asili ya Malawi. Ni Luhanga tofauti hao!
Mme ninae mmoja tu. Eng....Mauna waume wengi, yupi?
PhD holder?Mimi mke wa consultant Eng.......
Je na yule aliekuwa MD wa Tanesco, Baruani Luhanga?Major General Luhanga alikuwa Mhehe, Professor Luhanga ni wa kutoka Mbeya mwenye asili ya Malawi. Ni Luhanga tofauti hao!
Hapana kusema ukweli wa Mungu. Mme ninae mmoja tu. Na ndie kipenzi changu. Mwanafunzi wa Eng Luhanga.Na mme wako mwingine si kipenzi π
Eti kwasababu wao waliupata u-Professor bila kupitia Masters!ππ"Tanzania nzima maProffesor tupo wawili tu ,mimi na prof.Mwandosya"-Prof Luhangaππ
Yes!!! Tanzania hakuna prof zaidi yake na mark mwandosya.Nakumbuka siku moja tukiwa Mlimani UDSM, nilimsikia akisema alikuwa ana mheshimu Prof. Mark James Mwandosya tu!!!
R.I.P Prof. Mathew Luhanga!
Enzi zetu na Mkubwa wa Tamisemi...mambo bulibuli π π π π π... wazee mliosoma enzi za CACO na CADO! Sina hakika vijana wa enzi za DVC watawaelewa!
Ndio hao hao. Ukoo mmoja.Major General Luhanga alikuwa Mhehe, Professor Luhanga ni wa kutoka Mbeya mwenye asili ya Malawi. Ni Luhanga tofauti hao!
Alikua MD wa TanescoAlafu hii familia nahisi wote ni ma genius kuna mwenzake alikuwa Tanesco. RIP Prof
Eti kwasababu wao waliupata u-Professor bila kupitia Masters![emoji38][emoji38]
R.I.P Prof. Mathew Luhanga!
Je na yule aliekuwa MD wa Tanesco, Baruani Luhanga?