Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye anasikitika kutangaza kifo cha PROF. MATTHEW LUHANGA, aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia 1991 hadi 2006...
R.I.P prof wa mme wangu kipenzi.
Na sio mara moja. Kuna siku tulikutana kwenye hafla moja Mbeya yeye akiwa mgeni rasmi pia alisema hivyo kuwa yeye Prof anayemtambua hapa Tanzania ni Mark Mwandosya tu.Nakumbuka siku moja tukiwa Mlimani UDSM, nilimsikia akisema alikuwa ana mheshimu Prof. Mark James Mwandosya tu!!!
R.I.P Prof. Mathew Luhanga!
Hapana ana masters, nadhani walikua maprof pekee wa Telecom enzi hizoEti kwasababu wao waliupata u-Professor bila kupitia Masters!😆😆
R.I.P Prof. Mathew Luhanga!
😆😆😆😆😆 asante sana!! Nakumbuka habari ya Prof. Magimbi na Marehemu Chachage Seith Chachage kuhusu machapisho yao!!, nafikili wakati wa kupata PhD mpaka wakakosana!!Yes!!! Tanzania hakuna prof zaidi yake na mark mwandosya.
Wengine wanapeana tu.
Mtu akikusimamia afu anakuchukia ama hakupendi anatafuta sababu za wewe kukuangusha...
Oooh uko sahihi kabisa!😆😆😆😆Hata mm nilikuwepo siku hyo, alisema huwezi kuwa professor wa kiswahili au development study kisha ukajisifu eti ww ni professor! Nchi hii maprofessor tumebaki wawili tu mm na mwingine hayupo hapa anaitwa mark mwandosya" mbele ya jk na asha rose migiro nafikiri kulikua na uzinduzi wa coet kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.
Nafikili Prof. Mark James Mwandosya atakuwa anajiandaa kuandika risala fupi atakayomuelezea kwa ufupi rafiki yake Marehemu Prof. Mathew Luhanga kuhusu enzi zao at the HILL - UDSM na mahali popote walipokuwa pamoja!Pole Prof. Mark Mwandosya rafiki mkubwa wa marehemu...
Nimesha uelewaSoma mwaka/tarehe ya uzi...
Kumbe humu Kuna Baba au Babu zetu.Tulianza kumuita profesa mwanzoni mwa miaka ya sitini tukiwa naye N. A. Middle School Mbeya, alikuwa Time Keeper wa shule ni mdogo wake Elijah B. Luhanga aliyewahi kuwa mkurugenzi wa Tanesco.
MUNGU AWE NAYE DAIMA.
Shikamoo Babu, nakutakia maisha marefu mzee..Tulianza kumuita profesa mwanzoni mwa miaka ya sitini tukiwa naye N. A. Middle School Mbeya, alikuwa Time Keeper wa shule ni mdogo wake Elijah B. Luhanga aliyewahi kuwa mkurugenzi wa Tanesco.
MUNGU AWE NAYE DAIMA.
Kumbe pale ilikuwa chuo cha TTCL? Aiseee zamani serikali iliwekeza,mbona siku hizi naona Kama kwenye elimu serikali Wala haiweki nguvu yeyote?Hajatokea wa kufananishwa nae. Ndio alihakikisha TTCL college Kijitonyama iwe sehemu ya UDSM na ndio hii inaitwa CoICT vijana wanapata maarifa kwa viwango vya kimataifa hapa hapa nchini.
Professor wa kweli alieacha legacy katika Uongozi wa vyuo vikuu.
InterestingHuyu Prof bwana enzi zake akiwa VC UDSM alianza kozi ya Law hapohapo UDSM akadisco mwaka wa kwanza [emoji3]
Huyu Mwandosya na Luhanga si ndio walikuwa wanajiita wao ndio maprofesa pekee wa ukweli Tz nzima?
Dah mbona jamaa alikuwa jeuri Sana.Ukiwa na mbongo kumbe unakuwa jeuriHata mm nilikuwepo siku hyo, alisema huwezi kuwa professor wa kiswahili au development study kisha ukajisifu eti ww ni professor! Nchi hii maprofessor tumebaki wawili tu mm na mwingine hayupo hapa anaitwa mark mwandosya" mbele ya jk na asha rose migiro nafikiri kulikua na uzinduzi wa coet kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.
Ushauri huu sio wa kupuuzwa unapaswa kufanyiwa kaziProf. Luhanga akiwa VC iliishauri serikali itilie mkazo sana kwenye elimu ya chekechea na msingi badala ya sekondari, kufeli kwetu kwenye elimu kunatokana na wanafunzi kuanza kujifunza kusoma, kuhesabu na kuandika wakiwa sekondari tofauti na enzi za mkoloni. Alitoa ushauri huo wakati huo baada ya kuona kiwango cha elimu ya wanafunzi wanaoingia chuo kikuu hairidhishi.
Hawa ndo maprofesa wenye Maono nchi hii. Tofaut na waganga njaaKumbe pale ilikuwa chuo cha TTCL? Aiseee zamani serikali iliwekeza,mbona siku hizi naona Kama kwenye elimu serikali Wala haiweki nguvu yeyote?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Professor wa ukweli huyu,nadhani angekuwa bado Mkuu wa kipindi kile Kayafa anatafuta PhD ya Korosho asingeipata.
Sahihi kabisa. Ilikuwa April 2006Hata mm nilikuwepo siku hyo, alisema huwezi kuwa professor wa kiswahili au development study kisha ukajisifu eti ww ni professor! Nchi hii maprofessor tumebaki wawili tu mm na mwingine hayupo hapa anaitwa mark mwandosya" mbele ya jk na asha rose migiro nafikiri kulikua na uzinduzi wa coet kama kumbukumbu zangu ziko sahihi.
Hata mimi nilipokuwa UDSM, VC alikuwa Kuhanga, na Mzee Punch alikuwa amempa jina la "Octopus" kama sikosei; ninamkumbuka sana "Poacher" na Dean of Students "Akili Hana". Baada ya Kuhanga, alikuja Prof Mmari wakati nikiwa TA, na Luhanga akiwa ni mwalimu mwenzangu wa kawaida hapo FoE. Jamaa alikuwa mtu poa sana, niliwahi kusafiri naye kwenda kwenye Conference Harare, kweli anisaidia sana kama mwanae. Mwaka mmoja baada ya kutoka Harare ndipo jamaa akaanza kupanda vyeo haraka haraka hadi kufikia kuwa VC.Enzi zetu vc Mlimani alikuwa prof. Nicholas Kuhanga. RIP prof. Mathew Luhanga.