Fumadilu Kalimanzila
JF-Expert Member
- Dec 10, 2016
- 1,885
- 5,625
Unge mtag kwenye account yake twitter huko ingesaidia sana.Mwigulu Mchemba: Ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha lami kutoka Manyoni-Itigi - Rungwa~Makongolosi - Chunya kuanzia kujengwa Jan 2024.
Barabara hii itaunganisha mikoa ya Singida- Tabora- Mbeya kuelekea Malawi na Zambia.
Sasa unakubalije kuuzwa? Kama wewe sio zuzu andamanaHilo mbarawa liliaaniwe limekuja Tanganyika kuuza nchi yetu kwa mabwana zao waarabu
Haki itapatakina tu
afande rama toa uchoko wakoWatu wa Bara washamba sana na kinachonishangaza ni jinsi wanavojiona wao ndio wazalendo wakati hii nchi wao ndio wanaongoza Kwa kuif*ra. Hapo unajiona mzalendo mwenyewe kisa umetokea bush huko hata maji ya mfereji hakuna. Mshazoea shida shida na chuki na mwaka huu mtakoma ***.
Hakuna anayetaka kuuza nchi kwa yoyote. Hizi ni imani za kijinga zinazoenezwa na wanasiasa wachache wenye ndoto za madaraka.Ikulu ya Tanganyika sio lango la kuuza nchi kwa waarabu
Haki itapatakina
Kesho wewe ndio utakuwa fala Mungu akiamua
NyanokoSio kosa lako Bali ni kopo ulilobeba unaitwa kichwa [emoji16][emoji16]
Msana wakoNyanoko
Sasa nimeelewa kwa nini Kikwete alikirudisha nchini hiki kichwa .Sikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Alikuwaga wapi kwani huyu Jamaa?Sasa nimeelewa kwa nini Kikwete alikirudisha nchini hiki kichwa .
Na pia kwa nini tangu awamu ya nne ya tano na ya sita kichwa hiki hakijawahi kaa nje ya baraza la mawaziri. Wazanzibar wako juu. Big up.
Unaijua km 5,000 kwanza? Au unaropoka tuu? Toka Uhuru mkijitahidi ni km 300 Kwa mwaka , yaani miaka 5 unajenga chini ya km 2000 huu ni upuuzi..Ukiona Waziri amepanic kiasi hicho ni dalili ya uwoga na kushindwa. Halafu asichukulie Watanzania ni wajinga kiasi, EPC + Plus F itapandisha sana gharama za ujenzi wa barabara. Hilo ni janga lingine linakuja, tunaweza kujenga hata KM 5000 kwa mwaka lakini hiyo ni sawa na nchi kujinyonga.
Bila Wazanzibar kuwasaidia saizi ningekuwa kama Zimbabwe 😂😂Hawa wazanzibar ni kuwa nao makini. Hawana uchungu
Siyo porojo tu, ana upeo mdogo pia wa mambo. Na bahati mbaya sio faswaha hata wa kuongea. Wanaomuona kichwa sijui wao vichwani mwao kuna nini.
Hawajifariji wanafanya kweli, wanauza mbuga za wanyama wanavyotaka, robo ya mikopo na Ajira za JMT wanachukua wao, kubwa kuliko wameuza bandari kwa ndugu zao wa Dubai milele, baya zaidi wameshika Dola, hatuna Cha kufanyaHuu ni uzi wa Wazanzibar kujifariji.
Umesikiliza video? Amesema jambo kama huna ufahamu nalo acha kupotosha..nadhani tatizo la viongozi wetu ni kutopenda kuulizwa maswali.
..wao wanataka wakitoa hoja basi ipokelewe bila kuhojiwa. Na ukiwapinga ni tatizo zaidi.
..Prof.Mbarawa alitakiwa ajibu hoja za Mh.Mpina bila kuanza kumshambulia na kumdhalilisha.
..Kitu kingine ambacho Prof. hajakifafanua ni tofauti ya model ya ujenzi wa barabara iliyokuwa ikitumika awali, na model hii wanayokwenda kutumia.
..Prof.Mbarawa ameeleza kwamba tunakwenda kujenga km nyingi kwa muda mfupi. Hajaeleza kwanini model iliyopita ilikuwa haiwezekani kujenga km nyingi, lakini hii ya sasa inawezekana.
..Nashauri viongozi wetu wasichukie kuulizwa maswali, au kuhojiwa, wanapofanya maamuzi.
Aache TaarabuSikilizeni Video
Amtaka asiwe anazungumza vitu asivyokuwa na uelewa navyo.
Bora ulipe gharama kubwa ila ujengwew Kwa haraka,ujengwew kitu classic,na mda mrefu wa kulipa Kwa sababu hii model ni concessional agreements kuliko kujenga Barabara ya km 200 Kwa miaka 8-10 huku riba za kuchelewesha mkandarasi zikikuabdama,unajenga vipisi vidogo vidogo yaani mbaya kabisa..Wote wako sahihi, EPC,+F ni project yote ina kuwa financed na kampuni inayo jenga maana yake serikali haina pesa, pili no grants , tatu Hawana pa kupata mkono.
Faida yake ni Tanzania kupata barabara kwa haraka, kuondoa muda mwingi wa majadiliano yasiyokuwa na tija kwa muda mrefu.
Hasara yake ni kulipa zaidi with interests, maana yake ni kuwa kampuni ya ujenzi nyingi za China wana partner na Insurer Banks ambapo wao wana chukua pesa zote za mradi na kujenga barabara, kama gharama ni 2M , inakuwa 2M+5% interests, hivyo baada ya kujenga serikali inalipa 2.1M kwa muda ambao wamekubaliana, hivyo wananchi wata gharamia zaidi kulipia deni/ ujenzi huo pengine ndio point ya Mpina iko hapo.
Binafsi naona pamoja na kuwa serikali Italipia gharama kubwa zaidi ni sawa kuliko kuliko kutafuta mikopo /grants ambazo unaweza usipate au ukapata kwa kuchelewa hivyo kushindwa kujenga barabara kwa Wakati.
Serikali ijaribu kuelezea vitu kwa kina sio kulalamika tu, mikopo au Vendor financing sio dhambi, toeni maelezo vizuri.
Umesikiliza video? Amesema jambo kama huna ufahamu nalo acha kupotosha