Prof. Mbarawa amvaa Luhaga Mpina, ashangaa alikuwaje Mbunge wa Afrika Mashariki wakati haelewi

Sio kweli. Upite mitaani useme unachotaka halafu usubiri kusahihishwa, big NO. Hoji chochote lakini inapokuja kwenye kusema, sema kile unachokijua na kama hukijui basi pata elimu nacho kwanza (fanya rejea au uliza)

..hata Prof ktk maelezo yake kuna makosa.

..Je, ni sahihi kumuamrisha asizungumze kulingana na upeo wake?

..Lakini huyo aliyeambiwa asizungumze ni MBUNGE.

..Hivi umejiuliza Luhaga Mpina anawakilisha wananchi wangapi?

..Na Prof.Mbarawa amepelekwa bungeni na wananchi wangapi?

..Prof anatoa wapi mamlaka ya kumuamuru Luhaga Mpina asitoe maoni yake?
 
Ndio maana ushasema miaka hio Haina Tija Haina matter yeyote miaka hio marekani kulikuwa na utumwa na ujinga wa Kila maana. Ni useless thought to begin with.

Bring back Tanganyika
 
Kusaini mkataba kabla ya kila kitu ndio inafanyika kisa 10%.
Ndio mkija kuambiwa mkataba miaka 100 mnashangaa.
Hamkusoma huo mkataba.
We unalala hapo hapo wachina wanakabidhiana makaratasi ya mkataba.
Una akili kuunga mkono hilo?
Kabla ya Kila kitu ndio unamaanisha nini?
 
Kuna maoni na ujinga
 
Kama ni 300 kwa mwaka, wakati wa Kikwete, kipindi cha miaka 10, iliwezekana vipi kujenga 12,000km? Maana 300km/year kwa miaka 10 ni 3,000km tu!! Msiwafanye watu wote ni wajinga.
 
Kama ni 300 kwa mwaka, wakati wa Kikwete, kipindi cha miaka 10, iliwezekana vipi kujenga 12,000km? Maana 300km/year kwa miaka 10 ni 3,000km tu!! Msiwafanye watu wote ni wajinga.
Nikikuta mjinga utabisha? Mnaongea vitu vya kubuni si ajabu Huwa mnadanganywa sana..

Hadi dakika hii Toka uhuru mtandao wa Barabara za lami Nchi nzima ni chini ya km 12,000,kama unabisha nikuletee ushahidi? Msiwe mnaropoka vitu vya kijinga.
 


Wazanzibari, watu goigoi, kama alivyowaita Hayati Jomo Kenyatta RIP, hawawezi kwenda kokote bila ya kushikiliwa na Tanganyika.

Siku Tanganyika ikiwachoka kutokana na dharau zao, na kujifanya wajuaji, na kwa namna walivyo wavivu wa kufanya kazi ngumu na kupenda vitu vya bure, wataishia kwenye mikono hatari, kama vile ugaidi na biashara haramu.

Ndugu zangu Wazanzibari, aminini katika kazi, kuamini kuna cha bure Duniani, mtaishia kuzimu.
 
Kuna maoni na ujinga

..maoni vs ujinga ni suala la kimtazamo.

..wewe unaweza kuona ni ujinga, lakini mimi nikaona ni maoni.

..Prof.Mbarawa hana udhu wa kumkataza mbunge toka Tanganyika kuhoji jambo linalohusu nchi yake.
 
mbarawa ni fisadi na pigaji la mali za umma ndio maana linaona wazalendo kama mpina anapolipinga linaona linapingwa kufanya upigaji.
we unajua hata maana ya uzalendo kweli? Au unafikiri kila anayeibwekea serikali ni mzalendo? Na ye si ametoka hukohuko serikalini akawadhulumu wananchi ardhi kule Morogoro
 
😂😂😂

Mungu Endelea kuwalaza Usingizi akina Mkwawa huko Tanganyika maana Wakiamka hapatatosha!
Huyo Mkwawa wako anajua hata kitu kinaitwa Tanzania? Mmekosa pa kushika kiasi hicho? Mtaweweseka sana Samia ndio mzalendo namba moja kwa sasa, aantujengea barabara za lami Km 2035 kwa wakati moja, haijawahi kutokea. Mbarawa ndio kichwa kilichomshauri rais. Hao ndio wazalendo, Mpina ameifanyia nini nchi hii zaidi ya kuiibia na msukuma mwenzake. Ngoja sindano iwaingie vizuri mtapona tu huo ugonjwa wenu
 
Mbarawa anastahili kunyongwa kwa kuweka saini yake kuonesha kukubaliana na zile terms zilizowapa DP World bandari yetu wabara.
kumbukumbu zake zinatakiwa ziandikwe kwa kalamu ya dhahabu, yule ni kichwa
 
we koma, siyo wote kuna wachahe tu wanaitwa sukuma gang, wanaumwa sahivi
 
we ni sawa na nyumbu tu
 
Ha
Hakuna Mtanzania mzalendo tusidanganyane, na Kama wapo basi wachache Sana na hawapo kwenye siasa.

Wanaoonekana Wazalendo hawana uzalendo wowote isipokuwa wanawaonea wivu wanufaika wa upigaji

Kwaiyo tuna kubaliana ni wapigaji hao ambao mpina ana wapopoa?
 
mbarawa ni fisadi na pigaji la mali za umma ndio maana linaona wazalendo kama mpina anapolipinga linaona linapingwa kufanya upigaji.
Limejenga mjengo pale Mwenge kwa pesa ya wizi na kuuita Mwenge Complex jirani na stand mpya ya dala dala inayojengwa
 
Yaishe mkuu. Wewe una heshima yako humu.
 
Yaishe mkuu. Wewe una heshima yako humu.

..lets move on.

..sasa tutafute details za hii model ya ujenzi aliyoileta Prof.Mbarawa.

..kwa kifupi tunawakopa Wakandarasi badala ya kukopa Benki.

..What are the risks and benefits.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…