Prof. Mbarawa: Treni hii ya Tanzania siyo high speed train kama zile za vichwa vilivyochongoka, Wananchi eleweni hilo

Behewa kama kontena la Evergreen limetobolewa madirisha
 
Kwa hiyo hii ya kwetu Tanzania ni high speed size ya kati ipi? Nchi hii nachokaga kabisa!!!
Ni SGR mkuu, aliyewaambia ni high speed (Bullet train) aliwadanganya mchana kweupe, hii ya kwetu inaweza hata isifike 180km/hr..... nadhani itakuwa between 100 and 150km/hr max
 
Usishangae siku zijazo mtu akatoka na mpango wa kufunga treni masolar pannels ya kutosha. Utasikia mkandarasi ameletwa kwa gharama kubwa ili train zisisimame kutoa huduma.
Ni kama huwa wanaplan kupiga kwa miaka 30+
 
Tokea mwanzo nilikuwa ninajua hiyo habari ya treni ya umeme ni uongo wa dhahiri. Na tulisema yule baba wa uongo haaminiki. Kwa sasa kinachoendelea ni muendelezo wa ule uongo wa yule mkuu wa uongo aliyeko jehanamu.
Magufuli angakuwepo asingeleta hizo takataka!

Mamako huyu yeye alisema wazi kabisa ataanza na mitumba
 
Magufuli angakuwepo asingeleta hizo takataka!

Mamako huyu yeye alisema wazi kabisa ataanza na mitumba

Hakuna bingwa wa mitumba kama Magufuli, au unadhani tumemsahau?
 
Tunayatest ubora
 
Mwache atupige ili akamalizie ghorofa lake pale stendi ya mwenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…