Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora tu wangewekeza kwenye mahandhari mazuri katika ardhi nzuri ya kuvutia ya wachaga huko uchagatTrilioni karibu 20 zimeteketea hapo.
Upuuzi mtupu.Truphena Manyang'unyang'u
Wanavaa kinyago halafu wanastuka wenyewe kwa muonekano wa kinyago hicho hicho tena. Yaani wanajitisha wenyewe.Tatizo ni hao TRC kuweka picha za High speed train wakati wanajua sio kweli
Hebu ona yaani. Yale majitu ujue ni majinga yale.View attachment 2427447
Kwahiyo hao walitutapeli?
Ni SGR mkuu, aliyewaambia ni high speed (Bullet train) aliwadanganya mchana kweupe, hii ya kwetu inaweza hata isifike 180km/hr..... nadhani itakuwa between 100 and 150km/hr maxKwa hiyo hii ya kwetu Tanzania ni high speed size ya kati ipi? Nchi hii nachokaga kabisa!!!
Uchagani hakuna ardhiBora tu wangewekeza kwenye mahandhari mazuri katika ardhi nzuri ya kuvutia ya wachaga huko uchagatView attachment 2427794View attachment 2427795View attachment 2427796
Ni kama huwa wanaplan kupiga kwa miaka 30+Usishangae siku zijazo mtu akatoka na mpango wa kufunga treni masolar pannels ya kutosha. Utasikia mkandarasi ameletwa kwa gharama kubwa ili train zisisimame kutoa huduma.
Magufuli angakuwepo asingeleta hizo takataka!Tokea mwanzo nilikuwa ninajua hiyo habari ya treni ya umeme ni uongo wa dhahiri. Na tulisema yule baba wa uongo haaminiki. Kwa sasa kinachoendelea ni muendelezo wa ule uongo wa yule mkuu wa uongo aliyeko jehanamu.
Magufuli angakuwepo asingeleta hizo takataka!
Mamako huyu yeye alisema wazi kabisa ataanza na mitumba
Tunayatest uboraWaziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
Tumepigwa na mwendazake pamoja na warithi wakeDah nini sasa?
Acha hizo!Tumepigwa na mwendazake pamoja na warithi wake
Sasa unataka nikusaidiaje, kwa mfano?Tumepigwa na mwendazake pamoja na warithi wake
Mwache atupige ili akamalizie ghorofa lake pale stendi ya mwengeWaziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
Hii ndio trc? Inawezekana hapa tatizo ni wewe na genge lako mmeona kichwa Cha treni kwenye page uchwara zimeandikwa trc mkadhani basi hao ni trc..View attachment 2427447
Kwahiyo hao walitutapeli?
UlieSasa unataka nikusaidiaje, kwa mfano?