Kwa hiyo unataka kufananisha teknolojia iliyotumika kutengeneza bullet train ya mwaka sitini na latest edition ya hiyo train, wee jamaa sijui unatumia ubongo upi kufikiri...Bullet train ipo toka miaka ya sitini na ya kwanza ilijengwa na mjapani huku reli yake ni ya zege, sasa wewe unaposema ni tekinolojia ya kisasa nakuona uko kwenye kundi hasi la kutudanganya.
Sema wazi kuwa haukujua ilianza mwaka gani, hata hivyo toleo la mwezi wa kwanza haliwezi kufanana na toleo la mwezi wa kumi na mbili.Kwa hiyo unataka kufananisha teknolojia iliyotumika kutengeneza bullet train ya mwaka sitini na latest edition ya hiyo train, wee jamaa sijui unatumia ubongo upi kufikiri...
Jamaa walishavuta cha kwao tayariNi kweli..lakini mbona kwenye picha zao za mwanzo hao TRC walituonesha kitu tofauti na tulicholetewa?
150km/hr ni max speed mkuu....kimsingi itakuwa inatembea kati ya 80km/hr na 120km/hr na si zaidi ya hapo nadhaniWew unaona kwa hayo mabehewa 150km/h sitaweza kweli kufikia
Huwa hauchukui muda angalau mdogo tu wa kukusanya maarifa kwa maana ya kujifunza tunakimbilia kwenye lawama na shutuma.Ni kweli..lakini mbona kwenye picha zao za mwanzo hao TRC walituonesha kitu tofauti na tulicholetewa?
"Mmeanza" akina nani?!Mmeanza kubadilishana usemi. Kama sio high speed treni ina faida gani? Au mlifanya kuwaiga Kenya. Bora nipande Happy National Luxury dar to Mwanza kuliko hizo treni nikeshe njiani.
Ina maana SGR ni sawa na Meter Gauge?! Ina maana huoni tofauti ya electrified SGR na Meter Gauge Railway?Kama ni hivyo kwa Nini tunajenga reli nyingine.
Chifu,Hila kwa nchi yetu na ukubwa wake Ni Bora wengejenga vipis vipisi angalau tuende hyo 250 had 320 kwa saa kuliko kujenga 160 kwa saaa na bado haitaleta tija ya kuwai
Gusa bei ya hizo treni zenyewe sasa....The paper notes that construction cost of high speed rail in China tends to be lower than in other countries. China’s high speed rail with a maximum speed of 350 km/h has a typical infrastructure unit cost of about US$ 17-21m per km, with a high ratio of viaducts and tunnels, as compared with US$25-39 m per km in Europe and as high as US$ 56m per km currently estimated in California.
Hizo picha za TRC nilikuwa sijawahi kuziona lakini bado treni kama hizo zinaweza kutumia reli yetu kwa sababu zipo kama hizo ambazo sio high speed trains.Sipingi usemacho, lakini kwa taarifa yako waliokuwa wanasema kuhusu hiyo reli ya umeme, walikuwa wanatuhadaa kuwa itakuwa high speed train. Na waliokuwa wakileta hizo computer image za high speed trains ni hao hao TRC! Imefika wakati wa ukweli kuonekana ndiyo wanaleta hayo mambo ya ajabu.
Bhana wee... we acha tu! Ndicho nilichosema hapo juu kwamba maajabu ya nchi hii wakati umeme wa matumizi ya kawaida hatuna lakini tuna reli ya umeme.Na kwa kuongezea tu, hata hata hiyo train ya umeme wanayosema sio jambo la kauminika sana. Maana kama umeme wa nchi nzima umewashinda na bado wanakaza fuvu, ndio itakuwa umeme kwenye train?
Hapo juu nimeweka ka-screenshot!Unasema hizo train za high speed ni very expensive, kwahiyo $7.5b kwa mujibu wa figure zao ambazo haziamaniki, sio very expensive?
Sasa picha ndo railway?!Funguka, zile picha za TRC zikionesha treni iliyochongoka na ubavuni jina la TRC aliweka nani? Kama hauvai barakoa utakuwa umeambukizwa uongo.
Hiyo anajua mwenyewe kwanini katoa huo ufafanuzi...Kulikua na haja ya Mh Waziri kuja na hii kauli ya ufafanuzi kipindi hiki? Kwa nini?
Vikiunganishwa direct na mabehewa,hiyo meli itakuwa na ukubwa Gani wa kuhandle cargo hiyo?Au ulimi uliteleza au Mimi ndio sijuiWaziri wa Uchukuzi Prof Mbarawa amewataka Wananchi kutochanganya Treni hii ya Tanzania na zile za high speed zenye vichwa vilivyochongoka.
Prof Mbarawa amesema picha zinazorushwa mitandaoni na watu wasio na nia njema ni zile za high speed zinazotembea zaidi ya km 200 kwa saa.
Za kwetu ni hizi mnazoona tunazipokea na haya ni Mabehewa 14 ya Daraja la tatu(economy) na mwezi February mwakani tutapokea Ya Business class na First class
Mabehewa haya ni kwa ajili ya masafa marefu na yatavutwa na Vichwa vya Umeme lakini yale ya high speed Vichwa vyake vinaunganishwa direct na mabehewa, amesisitiza Mbarawa
Source ITV Habari
Walituonyesha ili watuibie?fafanua je Ni mapya au chakavu.View attachment 2427447
Kwahiyo hao walitutapeli?
Pamoja na mapungufu bwana Yule,alitekeleza aliyotamka kwa ubora.kila wizi wa awamu ya sita unaelekezwa kwa bwana yule.si sahihi.mikataba ya mabehewa imesainiwa awamu ya sita.kama walibaini hawawezi kuleta Aina ile wasingeendelea kutuaminisha .je kuhusu malipo makubwa kwa mabehewa chakavu bwana Yule yupo?mwenda zake alishaenda bi mkubwa apambane na hali yakejohnthebaptist hii nchi ni shida. Viongozi hutuona watanzania hatuna akili. Kulikuwa na sababu gani kutudanganya hapo mwanzo na picha za vichwa mchongoko?? Ila tukumbuke kilikuwa kipindi cha bwana yule, ambaye kudanganya ilikuwa ni sifa nzuri.
Kwema hizo train ni ghali sana kuliko ghrama ya uwekezaji kwenye hiyo rail. Unakuta watanzania wanasema kitu flani ni ghali kuliko kila lakini ukichugulia unakuta ufisadi wa bilioni 50 zaidi. Marekani sio kwamba nimeshindwa ni priority tu .kama tumenunua drimliner. Bullet ya train zinatushindaje jamaniChifu,
Asikudanganye mtu... high speed train ISN'T commercially viable kwa nchi maskini kama Tanzania!
Kabla ya yote, soma karipoti haka ka Australian Government:-
View attachment 2431487
Utaona hapo, gharama ya ujenzi tu ina-range from A$16M to A$110M. Now, fanya tu iwe US$20M/km.
Dar to Mwanza ni zaidi ya 1000KM... fanya tu iwe 1000KM X20M = 20,000,000,000
Yaani kujenga Dar to Mwanza peke yake ingechukua AT LEAST US$20 BILLION....
Hii ya sasa itachukua less than $8Billion lakini bado inatutoa jasho... je, huo ubavu tunao?!
Taarifa kama hiyo inafanana na ya World Bank waliyoitoa 2014 kwamba;-
Gusa bei ya hizo treni zenyewe sasa....
Marekani na utajiri wake wote lakini bado high speed trains ni za kutafuta manake zipo sehemu chache sana!
Wenyewe wanasingizia ni teknolojia iliyopitwa na wakati kwa sababu, kimsingi wanaona hiyo speed hivi sasa inapatikana kwenye ndege