Ngungenge
JF-Expert Member
- Jun 11, 2016
- 2,914
- 3,386
Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga.
Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa.
Mkataba huuu watanzania wanataka mambo mawili tu.
1. Time frame ijulikane kama ni miaka 30 basi ijulikane. Kunashida gani kuweka miaka 30 kisha kuweka kipengele kuwa to be renewed based on terms and condition za wakati huo mbona simple tu.
2. Kuna haja gani ya kusema DP World apewe inland ports kwani si anaweza kuja kuomba kama wanavyoomba wadau wengine sasa kwenye mkataba maswala ya bandari zote ya nini?
Mimi nampongeza Rais Samia kwa kuleta mkataba hadharani but Mbarawa na timu yako mmepuyanga sana yaani mnanipa hasira
Ni kweli Rais Samia ana nia ya dhati ya kuleta maendeleo na katika ishu ya bandari amefanya vyema kuongeza uwazi.
Mikataba mingapi inasainiwa bila kupita bungeni tujiulize...
Sasa hili Jambo Mbarawa na timu yako hakikisheni ndani ya muda mfupi mnarekebisha
Mnamchonganisha Rais na wananchi.
Sisi wazalendo wa kweli ambao hatutaki unafiki wala ushabiki tunasema.
Tunaunga mkono mwekezaji DP World ila Mbarawa rekebisheni maramoja hili Jambo
Mnawapa nguvu wapinzani wa Rais sasa tunaona hadi makanisa yameanza kueneza propaganda za upinzani wa wazi wazi
Hili suala lifike mwisho Mbarawa sisi wafuasi wa Mama hatuna utani.