Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ukuwadi wa waarabu +10% unategemea uprofesa upi sasa!Hivi Mbarawa ni Profesa wa kitu gani? Ni ni profesa uchwara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukuwadi wa waarabu +10% unategemea uprofesa upi sasa!Hivi Mbarawa ni Profesa wa kitu gani? Ni ni profesa uchwara?
Mnavurunda nchi na bado mnaitamaani subirini watu wajipange muone mtatokea wapi.Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga.
Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa.
Mkataba huuu watanzania wanataka mambo mawili tu.
1. Time frame ijulikane kama ni miaka 30 basi ijulikane. Kunashida gani kuweka miaka 30 kisha kuweka kipengele kuwa to be renewed based on terms and condition za wakati huo mbona simple tu.
2. Kuna haja gani ya kusema DP World apewe inland ports kwani si anaweza kuja kuomba kama wanavyoomba wadau wengine sasa kwenye mkataba maswala ya bandari zote ya nini?
Mimi nampongeza Rais Samia kwa kuleta mkataba hadharani but Mbarawa na timu yako mmepuyanga sana yaani mnanipa hasira
Ni kweli Rais Samia ana nia ya dhati ya kuleta maendeleo na katika ishu ya bandari amefanya vyema kuongeza uwazi.
Mikataba mingapi inasainiwa bila kupita bungeni tujiulize...
Sasa hili Jambo Mbarawa na timu yako hakikisheni ndani ya muda mfupi mnarekebisha
Mnamchonganisha Rais na wananchi.
Sisi wazalendo wa kweli ambao hatutaki unafiki wala ushabiki tunasema.
Tunaunga mkono mwekezaji DP World ila Mbarawa rekebisheni maramoja hili Jambo
Mnawapa nguvu wapinzani wa Rais sasa tunaona hadi makanisa yameanza kueneza propaganda za upinzani wa wazi wazi
Hili suala lifike mwisho Mbarawa sisi wafuasi wa Mama hatuna utani.
Hata waganga wa kienyeji ni maprofesa sasa kazi ya mtu huwa inajieleza yenyewe na unagundua uprofesa Hapo hapo.Hivi Mbarawa ni Profesa wa kitu gani? Au ni profesa uchwara?
Tutaanza na wwNyie jipangeni tuu
Yes haya ndio mambo muhimu1.Time frame
2. Share zetu zisipungue kiasi fulani, siyo mambo ya kukusanya vikodi na viushuru tu
3. Possibility ya kujitoa iwepo
4. Hakuna kuinclude bandari nyingine, iwe ni ya Dar tu
5. Haki za binadamu zizingatiwe
Hivyo vyote viingie kwenye mkataba mama, hatutaki kusikia eti vitaingia kwenye HGA
Kama unayapenda haya mambo mbona huyasemi unashabikia mkataba tu,watu wanawaelewesha terms zilizopo mle ndani ya mkataba kwamba ni ngumu hamtaki,yaan ninyi akina karumekenge alikataa kwenda shule ni tatizo kubwa.Yes haya ndio mambo muhimu
Naunga mkono hoja TPA na Wizara fanyeni maboresho haya
Kuna muungwana aliuvujisha.....Samia ameleta mkataba hadharani?
Soma tena nimeandika niniKama unayapenda haya mambo mbona huyasemi unashabikia mkataba tu,watu wanawaelewesha terms zilizopo mle ndani ya mkataba kwamba ni ngumu hamtaki,yaan ninyi akina karumekenge alikataa kwenda shule ni tatizo kubwa.
Ndio ukweli wenyewe... Kuna mateso yanakuja....Kubadili vifungu imekua kazi kweli kwakua wameshachukua pesa za watu.
Anayelaumiwa yakitokea makosa ni waziri husikaMbarawa unamlaumu kafanyaje? Juzi Lipumba naye katoka sijui shimo gani anaanza kumlaumu mwanasheria mkuu wa serikali eti hakuupitia mkataba, mwanasheria mkuu wa serikali ana kosa gani? Watanzania tuna safari ndefu mno kufikia demokrasia ya kweli, kuufikia utawala bora wa kisheria wa kuheshimu kitu kinachoitwa taaluma za watu.Tatizo la nchi yetu viongozi wanajua kila kitu na wengi wao hawashauriki mwendo wa vitisho na maagizo yasiyoeleweka hapo ndio matatizo mengi huanzia.Sikiliza wa chini yako,sikiliza watu unaowaongoza usiwapuuze.Kama Mbarawa au Mwanasheria mkuu wa serikali walipotosha mbona hao wote wanadunda tu full viyoyozi ofisini nilitegemea wangekuwa OUT muda sana.Hii ni nchi yetu ifike mahali ukweli utawale. Sasa hivi kuna watu wanaitwa CHAWA WA MAMA sijui nani mfadhili wa hawa machawa?
Soma tena nimeandika nini