Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

Mnavurunda nchi na bado mnaitamaani subirini watu wajipange muone mtatokea wapi.
 
Yes haya ndio mambo muhimu
Naunga mkono hoja TPA na Wizara fanyeni maboresho haya
 
Yes haya ndio mambo muhimu
Naunga mkono hoja TPA na Wizara fanyeni maboresho haya
Kama unayapenda haya mambo mbona huyasemi unashabikia mkataba tu,watu wanawaelewesha terms zilizopo mle ndani ya mkataba kwamba ni ngumu hamtaki,yaan ninyi akina karumekenge alikataa kwenda shule ni tatizo kubwa.
 
Hakuna lolote la maana hapa... Watu wanatafuta pakutokea.... Watu wanakwepa kusema ukweli... Lakini ukweli unajulikana... Huu mkataba ulivuja.... Sio kwamba hajui.... Anajua vema kabisa.... Mtu anatengeneza tatizo halafu anakuja kulipa suluhu ili kujiongezea credit..... 2024-2025
 
Kama unayapenda haya mambo mbona huyasemi unashabikia mkataba tu,watu wanawaelewesha terms zilizopo mle ndani ya mkataba kwamba ni ngumu hamtaki,yaan ninyi akina karumekenge alikataa kwenda shule ni tatizo kubwa.
Soma tena nimeandika nini
 
Mbarawa unamlaumu kafanyaje? Juzi Lipumba naye katoka sijui shimo gani anaanza kumlaumu mwanasheria mkuu wa serikali eti hakuupitia mkataba, mwanasheria mkuu wa serikali ana kosa gani? Watanzania tuna safari ndefu mno kufikia demokrasia ya kweli, kuufikia utawala bora wa kisheria wa kuheshimu kitu kinachoitwa taaluma za watu.Tatizo la nchi yetu viongozi wanajua kila kitu na wengi wao hawashauriki mwendo wa vitisho na maagizo yasiyoeleweka hapo ndio matatizo mengi huanzia.Sikiliza wa chini yako,sikiliza watu unaowaongoza usiwapuuze.Kama Mbarawa au Mwanasheria mkuu wa serikali walipotosha mbona hao wote wanadunda tu full viyoyozi ofisini nilitegemea wangekuwa OUT muda sana.Hii ni nchi yetu ifike mahali ukweli utawale. Sasa hivi kuna watu wanaitwa CHAWA WA MAMA sijui nani mfadhili wa hawa machawa?
 
Anayelaumiwa yakitokea makosa ni waziri husika
Alikuwa na muda wa kurekebisha lakini akasain bila kurekebisha
 
Mh Rais Kafanya mengi mema na mazuri tunamshukuru..Mungu mtakatifu ana kusudi la kumpa nafasi ktk mazingira aliopewa si Kwa mapenzi ya wanadamu Bali Mungu tu..Si Kwa yeye kutaka Bali neema tu..

Hili jambo sio jepesi..Limeenea mnoo..Lina ukakasi mnoo,Halina amani..Halina furaha..Halina utulivu..

Viongozi wetu,Mitihani ktk maisha ya Uongozi haina budi kuruhusiwa kuwapata..Fanyeni toba Kwa Mwenyezi Mungu..Ombeni hekima na busara..Fanyeni maamuzi magumu yenye kuleta amani,Utulivu na mshikamano..
 
Soma tena nimeandika nini

Nimekusoma kaka you are very right.ww ndugu yangu bwana nilidhani ni wale wapumbavu mashabiki wanaomshabikia Rais na waziri walioshindwa kucalculate hesabu za kawaida kabisa na wengine eti Marais tuna kazi kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…