Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

Hiv mtu aliyetoka jangwani misitu aliiona wapi hadi aje akufundishe habari ya misitu,hapa tusidanganyane kuna udini mkubwa sana umejificha kwenye uwekezaji hakuna chochote ni ushenzi mtupu tu.
 
Anakubali vipi kuchonganishwa? Kwanini tusiamini wanashea uwezo wao wa kufikiri?

Mbarawa atakuwa mbuzi wa kafara(scapegoat)
 
Tatizo la mama Samia, na nilisha onya huko nyuma, ni ile inaitwa laiszes faire, uswahili mwingi.

Huko Magogoni au Chamwino mama hasomi au kupitia yanayoletwa mbele yake.
Sasa anashangaa uozo wa mkataba wa Bandari kama sisi wengine.
 
Huo mkataba haurekebishiki. Nilimsikia vizuri Lissu. Hutaona hiko kitu kinaitwa HGA
 
Tatizo la mama Samia, na nilisha onya huko nyuma, ni ile inaitwa laiszes faire, uswahili mwingi.

Huko Magogoni au Chamwino mama hasomi au kupitia yanayoletwa mbele yake.
Sasa anashangaa uozo wa mkataba wa Bandari kama sisi wengine.
Rais aache ku deligate vitu serious
Mambo muhimu asome apitie mikataba
 
mkataba mkuu huo umefika bumgeni baada ya kuvuja na pia time frame siyo kigezo tu cha kupewa Dp world yapo mambo mengi yanahitaji ufafanuzi !mkubwa
 
unaweza kukuta hata mwanasheria mkuu hakuhusika huoni yanayoendelea hajachangia chochote kuhusu mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…