Prof. Mkumbo: Katiba iliyopo sasa sio ya Demokrasia ya Vyama Vingi

Sikubaliani nae.

Katiba iliyopo sasa sio mbaya kihivyo, tatizo haifuatwi, kama viongozi wetu wangekuwa wanaifuata hii Katiba iliyopo kama ilivyo, hasa kuhusu masuala ya kidemokrasia, kama mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, hali isingekuwa mbaya kama ilivyo sasa.

Hata hii tume ya uchaguzi, japo Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama cha siasa anateua mwenyekiti wake, lakini hakuna popote huyu mwenyekiti na wajumbe wake wameambiwa na Katiba iliyopo waipendelee CCM, ni viherehere vyao tu, sasa kama watandelea na hii tabia ya kiherehere basi hata Katiba Mpya nayo ikija, haitakuja na suluhisho la kudumu.

Ningemuona Kitila ana hoja kama angeanza kwa kuwaambia CCM wenzake kwanza waifuate Katiba iliyopo, baada ya hapo, ndio tuangalie mapungufu yatakayojitokeza ili yakafanyiwe kazi kwenye hiyo Katiba Mpya, lakini kukimbilia Katiba Mpya wakati iliyopo mmeshindwa kuiheshimu ni ujinga.
 
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja.
Baada ya kutemeshwa meza kuu, sasa akili ndio zimeanza kumrudia gwiji huyu wa siasa na zitamkaa vizuri kabisa 2025 baada ya kutemeshwa rasmi jimbo la Ubungo na kulazimika au kurejea darasani kushika chaki, au kujiunga na akina sisi huku kujiweni.

Katiba inatoa haki ya kila Mtanzania kupiga kura kuchagua kiongozi na kuomba kuchaguliwa. Haki ya kuchaguliwa imeporwa na shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa!. Hii ni dhulma kubwa ambayo inatugharimu sana kupitia karma!.

Uchaguzi wetu ni uchaguzi kiini macho kugombea kisu cha makali kuwili, ambapo chama dola kimeshika mpini na vyama makapuku wakishikishwa upande wa makali kuwili!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
 
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja...
Huyu usomi wake ni questionable, huenda ni usomi njaa,
 
Baada ya kutemeshwa meza kuu, sasa akili ndio zimeanza kumrudia gwiji huyu wa siasa na zitamkaa vizuri kabisa 2025 baada ya kutemeshwa rasmi jimbo la Ubungo na kulazimika au kurejea darasani kushika chaki, au kujiunga na akina sisi huku kujiweni.
Umenifuurahisha sana kwa hii para
🙏👍✍️🍇
 
Nikiangalia elimu yangu ni ndogo mnoo Lakini huwezi amini ninamdharau mkumbo namuona kama kuku.
 
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja...
Mirija ya kufyonzea keki ya taifa ikishakatwa ajili zinarejea.... hawa ndio wale Nyerere ma**ya wa kisiasa.
 
Fupa halipo mdomoni sasa ni muda wa kusema..kipindi fupa lipo mdomoni alikuwa haona kasoro za katiba hii ya kijani.

Katiba mpya itokane na rasimu ya warioba..kijani acheni kuinajisi nchi.

#MaendeleoHayanaChama
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Make hapo kwanza nchekee

Naona taratbu watu wanaanza kurudisha akili zao za kuzaliwa
 
Baada ya kutemeshwa meza kuu, sasa akili ndio zimeanza kumrudia gwiji huyu wa siasa na zitamkaa vizuri kabisa 2025 baada ya kutemeshwa rasmi jimbo la Ubungo na kulazimika au kurejea darasani kushika chaki, au kujiunga na akina sisi huku kujiweni.

Katiba inatoa haki ya kila Mtanzania kupiga kura kuchagua kiongozi na kuomba kuchaguliwa. Haki ya kuchaguliwa imeporwa na shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa!. Hii ni dhulma kubwa ambayo inatugharimu sana kupitia karma!.

Uchaguzi wetu ni uchaguzi kiini macho kugombea kisu cha makali kuwili, ambapo chama dola kimeshika mpini na vyama makapuku wakishikishwa upande wa makali kuwili!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Leo umenena Pascal👏👏
 
Ni kweli, hata saa mbovu husema kweli angalau mara moja kwa siku
Bila kuangalia aliwahi kunena nini wakati wa kipindi cha giza nene, maneno yake Kitila yana ukweli wa 100%.
 
Kitila hawezi sikilizwa na hadhara ya waunwana mpaka avae nguo kwanza...
 
Baada ya kutemeshwa meza kuu, sasa akili ndio zimeanza kumrudia gwiji huyu wa siasa na zitamkaa vizuri kabisa 2025 baada ya kutemeshwa rasmi jimbo la Ubungo na kulazimika au kurejea darasani kushika chaki, au kujiunga na akina sisi huku kujiweni.

Katiba inatoa haki ya kila Mtanzania kupiga kura kuchagua kiongozi na kuomba kuchaguliwa. Haki ya kuchaguliwa imeporwa na shurti la kudhaminiwa na chama cha siasa!. Hii ni dhulma kubwa ambayo inatugharimu sana kupitia karma!.

Uchaguzi wetu ni uchaguzi kiini macho kugombea kisu cha makali kuwili, ambapo chama dola kimeshika mpini na vyama makapuku wakishikishwa upande wa makali kuwili!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
P
Narudia, Mayalla husaidia upinzani Ili wajitambue na wapambane zaidi.

Bt upinzani humuweka P ktk kundi la maadui.

Itafahamika tu.
 
Back
Top Bottom