Prof. Mkumbo: Katiba iliyopo sasa sio ya Demokrasia ya Vyama Vingi

Narudia, Mayalla husaidia upinzani Ili wajitambue na wapambane zaidi.

Bt upinzani humuweka P ktk kundi la maadui.

Itafahamika tu.
Mkuu Rabbon , mimi ni kada bonafide genuine ambaye ni mkweli na mpenda haki, wapenda bakit wote tumatanda CCM ishinde kwa haki na nchi iwe na a healthy opposition.
P
 
Kwani Prof Mkandaa anasemaje
 
Narudia, Mayalla husaidia upinzani Ili wajitambue na wapambane zaidi.

Bt upinzani humuweka P ktk kundi la maadui.

Itafahamika tu.
Sasa hapo upinzani wasichoelewa ni nini? We naye una akili ndogo sana.
 
Mkuu Rabbon , mimi ni kada bonafide genuine ambaye ni mkweli na mpenda haki, wapenda bakit wote tumatanda CCM ishinde kwa haki na nchi iwe na a healthy opposition.
P
Sasa Paskal maandiko yako yanabadilisha huo ukweli? Mbona kila kitu kinajulikana
.

Ukweli umeusema ccm sio chama cha siasa. Ni chama dola kinashinda kwa wizi.
 
Hata kama ni mdangaji wa kisiasa lakini kasema ukweli
 
Kutakuja kutokee changamoto ya maelewano miongoni mwa watu wa tume ya uchaguzi, siku zijazo. Hii itatokana na utaratibu mbaya wa the so called, Demokrasia.
Sio rahisi ccm iko tayari kuwahonga hata rasilimali za Taifa ili waendelee kuwa sapota wao bila mfarakano wowote kati yao.

Mifarakano hutokea pale wanapodhulmiana kwenye ulaji
 
Prof Mkumbo ni mwanaharakati!! Aliingizwa CCM ili kumfumba mdomo!! Baada ya kifumba mdomo (uteuzi) kudondoka chini naona analianzisha!! Huyu ni kama alivyo Polepole!! Alilianzisha la wahuni baada ya kifumba (uteuzi) mdomo kudondoka!! Aliporudishiwa kifumba mdomo (uteuzi) sasa hana habari na wahuni! anaendelea kula kuku kwa mrija huko Malawi!!
 

CCM kwa sasa sio chama cha siasa bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa. Huyo Kitila anaongea ukweli sasa kwakuwa hayuko kwenye ulaji, na pia aibu ya uchaguzi bora wa Kenya juzi ndio dhamira inamsuta.
 
Kabudi anasemaje kuhusu katiba mpya?
 
Nakubaliana naye katika mengi, ila kwenye ishu ya CCM kushinea nafasi ya urais mwaka 2025 hilo sahau, labda waibe kura!
 
Ukiona kitu hakifuatwi jua kina mapungufu.Katiba hii iliyopo ingekua nzuri isingetoa hisani kwa mtu kuifuatwa bali lingekua ni takwa kuifuata.Hiyo tume inafanya huo ujinga kwasababu inajua maamuzi yake niyamwisho nailo linaanzia kuanzia upatikanaji wake.nahilo linatokana na katiba yenyewe kutoa huo mwanya.kwahiyo hakuna haja yakujadili kitu chenye mapungufu ambayo tayari yameshaonekana wakati una uwezo na akili zakutengeneza kingine bora.katiba inatakiwa ijisimamie yenyewe sio hadi mtu anapojisikia au kukumbushwa.
 
Soma Tena Nzie ya Mana Donnie Charlie
 
This guy is an hypocrite......Sukumq Ghang sabotaging the Madame President
 
Tatizo la wadai katiba mpya na demokrasia nchini,mtu katoa mawazo sahihi kabisa lakini Cha ajabu badala ya kuungwa mkono na kupush ajenda ashambuliwa kwa matusi Tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…