masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
UDOM imesha jimaliza yenyewe.... kwa maprofesa nguli kama hawa kuhoji, kuna kitu nyuma ya pazia! Ni jukumu sasa la mamlaka ya udhibiti wa elimu ya juu nchini (TCU) kutoa majibu fasaha. Kama kuna michezo wanasiasa wanafanya kuchezea elimu angalau wawili watatu wawe mifano kukomesha hali hii for good!
Wekeni hizo abstracts, conclusions, na supervisors online watu wapitie; hata hizo theses hazitakiwi kuwa siri. Ziwekwe public pengine watafiti wengine wangependa "kuanzia walipoishia" kwenye tafiti mpya.
Imeingia katika ligi ya Sub Standard Universities.