Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

Prof. Muhongo amuunga mkono Prof. Mwandosya, TCU kimya!

... kwa maprofesa nguli kama hawa kuhoji, kuna kitu nyuma ya pazia! Ni jukumu sasa la mamlaka ya udhibiti wa elimu ya juu nchini (TCU) kutoa majibu fasaha. Kama kuna michezo wanasiasa wanafanya kuchezea elimu angalau wawili watatu wawe mifano kukomesha hali hii for good!

Wekeni hizo abstracts, conclusions, na supervisors online watu wapitie; hata hizo theses hazitakiwi kuwa siri. Ziwekwe public pengine watafiti wengine wangependa "kuanzia walipoishia" kwenye tafiti mpya.
UDOM imesha jimaliza yenyewe.
Imeingia katika ligi ya Sub Standard Universities.
 
Afrika professional hailipi zaidi kuliko political mkuu.labda nje ndo career Zina Mana Sana.
Hii argument nimeisikia na bado nazidi kuisikia, kwamba wasomi wanalazimika kuingia kweye siasa kisa kwenye siasa kunalipa sana kuliko kwenye academics. Mi nina majibu mawili kuhusu hiyo argument. Kwanza nchi yoyote ile isiyoweza kutambua academics wake bora na ikaweza kuwaheshimu na kuwalipa inavyostahili hiyo nchi itabaki kuwa duni sana. Pili kuna shida kwa wasomi wetu ambao hawawezi kuwa proud na taaluma zao na wakajifanya cheap kwa kujiuza kwingineko wasikostahili eti kisa kunalipa. I can understand msomi ngazi ya profesa kuwa advisor wa serikali kwenye mambo yanayohitaji utaalamu. Lakini profesa kabisa, mtu aliyespend zaidi ya nusu karne akispecialize kwenye kitu kimoja flani afu anaacha kabisa taaluma yake na kwenda kugombea ubunge? Hapo kuna shida. Pia ni tabia mbovu kabisa kwa watawala wetu kuwateua maprofesa kwenda kufanya kazi trivial za adminstration kwenye serikali. You dont spend miaka kibao kubobea kitu fulani afu umfanye mtu huyo awe karani wa kusoma mafaili hata kama utamlipa mamilioni ya mshahara na posho. Huku kutoallocate resources appropriately, zikiwemo human na financial resources, kutaitesa hii nchi miak mingi ijayo. Tuna majitu mengi sana yanafanya kazi pasipostahili na tuna watu wengi sana wanalipwa isivyostahili.
 
Mkuu Bongo Kuna njaa Sana Kama unaelewa we don't do things for passionately Bali kwa kupata pesa.
Ngoja nisiendelee Sana Mana utaikosa point hapa
 
Elimu yetu inahitaji u serious sana, Hadi musukuma naye ni Dr eti.
Screenshot_20211219-184031_2.jpg
 
Kwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Na kwa sasa vyuo vingi vina upungufu mkubwa wa wahadhiri wazoefu wenye credibility ka Mhongo vile wamekimbilia siasa
 
Mkuu Bongo Kuna njaa Sana Kama unaelewa we don't do things for passionately Bali kwa kupata pesa.
Ngoja nisiendelee Sana Mana utaikosa point hapa
Nshakupata. Kwamba kumbe wale tunaowaita wasomi pesa ndiyo lengo lao la msingi na kokote itakapopatikana ndiko atakakoenda. Kama mmea unavyoota kufata jua lilipo hata kama itabidi lipinde shina. Mh!

Kwa msingi huo tutachelewa sana. Maana from what I understand na kupata uzoefu kule nilikobahatika kufika maprofesa ni kama taasisi kwenye vituo vyao vya kazi, funded vya kutosha na serikali zao au makampuni. I don't see mtu kama huyo atakuwajebmotivated kufanya kazi nje ya kile alicho passionate nacho. Anyway ....
 
Mkuu Bongo Kuna njaa Sana Kama unaelewa we don't do things for passionately Bali kwa kupata pesa.
Ngoja nisiendelee Sana Mana utaikosa point hapa
Njaa inatuua, ila kuwatoa ma Prof, na Dr kwenda siasani na kupiga porojo na kina Musukuma ni poor allocation of resources aisee, maana ma Prof kamili na wazoefu ni wachache Matokeo yake wanatumiwa ma Dr wasio wazoefu ndio maana elimu yetu inakuwa matopeni. Na magufuli aliwateua ma Prof wengi na kuacha vyuo vina uhaba wa wazoefu na waliopo wameshazeeka sana aisee. Taifa linalocheza na elimu ya watu wake linajiangamiza, ifike mahali nchi hii wataalamu waheshimike na walipwe masilahi makubwa ka wabunge uone ka watu watakimbilia siasani.
 
Hizo porojo za akina Walter Rodney...!
Kama Timbuktu ilikuwa na chuo kikuu miaka 1000 Leo ingekuwa vile!
How Europe Underdeveloped Africa! Ha ha ha! Mkuu Timbuktu unaambiwa ilikuwa university ya dini!
 
Elimu yetu inahitaji u serious sana, Hadi musukuma naye ni Dr eti. View attachment 2050044
Kwa hiyo hii PhD ni copy and paste kutokea huko garissa kenya? maajabu haya........mbali na abstract tungependa pia kusoma introducton, objectives, some literature review, methodologies, results and a hint on discussion........
 
Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:

"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.

Kwa nini msiombe yafuatayo:

1. Abstract of the PhD thesis/dissertation

2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation

Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.

Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:

3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)

4. External Examiner(s)

Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).

Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."

S Muhongo
17.12.2021"

MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.
Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!
View attachment 2050012

Kwani wewe umemuelewaje. Nahisi hujamuelewa kabisa. Wewe unayedoubt. Kafanye hayo yote.
 
Back
Top Bottom