masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
UDOM imesha jimaliza yenyewe.... kwa maprofesa nguli kama hawa kuhoji, kuna kitu nyuma ya pazia! Ni jukumu sasa la mamlaka ya udhibiti wa elimu ya juu nchini (TCU) kutoa majibu fasaha. Kama kuna michezo wanasiasa wanafanya kuchezea elimu angalau wawili watatu wawe mifano kukomesha hali hii for good!
Wekeni hizo abstracts, conclusions, na supervisors online watu wapitie; hata hizo theses hazitakiwi kuwa siri. Ziwekwe public pengine watafiti wengine wangependa "kuanzia walipoishia" kwenye tafiti mpya.
Hii argument nimeisikia na bado nazidi kuisikia, kwamba wasomi wanalazimika kuingia kweye siasa kisa kwenye siasa kunalipa sana kuliko kwenye academics. Mi nina majibu mawili kuhusu hiyo argument. Kwanza nchi yoyote ile isiyoweza kutambua academics wake bora na ikaweza kuwaheshimu na kuwalipa inavyostahili hiyo nchi itabaki kuwa duni sana. Pili kuna shida kwa wasomi wetu ambao hawawezi kuwa proud na taaluma zao na wakajifanya cheap kwa kujiuza kwingineko wasikostahili eti kisa kunalipa. I can understand msomi ngazi ya profesa kuwa advisor wa serikali kwenye mambo yanayohitaji utaalamu. Lakini profesa kabisa, mtu aliyespend zaidi ya nusu karne akispecialize kwenye kitu kimoja flani afu anaacha kabisa taaluma yake na kwenda kugombea ubunge? Hapo kuna shida. Pia ni tabia mbovu kabisa kwa watawala wetu kuwateua maprofesa kwenda kufanya kazi trivial za adminstration kwenye serikali. You dont spend miaka kibao kubobea kitu fulani afu umfanye mtu huyo awe karani wa kusoma mafaili hata kama utamlipa mamilioni ya mshahara na posho. Huku kutoallocate resources appropriately, zikiwemo human na financial resources, kutaitesa hii nchi miak mingi ijayo. Tuna majitu mengi sana yanafanya kazi pasipostahili na tuna watu wengi sana wanalipwa isivyostahili.Afrika professional hailipi zaidi kuliko political mkuu.labda nje ndo career Zina Mana Sana.
Mkuu Bongo Kuna njaa Sana Kama unaelewa we don't do things for passionately Bali kwa kupata pesa.Hii argument nimeisikia na bado nazidi kuisikia, kwamba wasomi wanalazimika kuingia kweye siasa kisa kwenye siasa kunalipa sana kuliko kwenye academics. Mi nina majibu mawili kuhusu hiyo argument. Kwanza nchi yoyote ile isiyoweza kutambua academics wake bora na ikaweza kuwaheshimu na kuwalipa inavyostahili hiyo nchi itabaki kuwa duni sana. Pili kuna shida kwa wasomi wetu ambao hawawezi kuwa proud na taaluma zao na wakajifanya cheap kwa kujiuza kwingineko wasikostahili eti kisa kunalipa. I can understand msomi ngazi ya profesa kuwa advisor wa serikali kwenye mambo yanayohitaji utaalamu. Lakini profesa kabisa, mtu aliyespend zaidi ya nusu karne akispecialize kwenye kitu kimoja flani afu anaacha kabisa taaluma yake na kwenda kugombea ubunge? Hapo kuna shida. Pia ni tabia mbovu kabisa kwa watawala wetu kuwateua maprofesa kwenda kufanya kazi trivial za adminstration kwenye serikali. You dont spend miaka kibao kubobea kitu fulani afu umfanye mtu huyo awe karani wa kusoma mafaili hata kama utamlipa mamilioni ya mshahara na posho. Huku kutoallocate resources appropriately, zikiwemo human na financial resources, kutaitesa hii nchi miak mingi ijayo. Tuna majitu mengi sana yanafanya kazi pasipostahili na tuna watu wengi sana wanalipwa isivyostahili.
Na kwa sasa vyuo vingi vina upungufu mkubwa wa wahadhiri wazoefu wenye credibility ka Mhongo vile wamekimbilia siasaKwa mara ya kwanza Muhongo kaongea point. Point kubwa na ya msingi ni kwamba akina Sospeter wangebaki vyuoni kama maprofesa wangekuwa useful zaidi kwenye jamii kuliko walivyoingia kwenye siasa.
Nshakupata. Kwamba kumbe wale tunaowaita wasomi pesa ndiyo lengo lao la msingi na kokote itakapopatikana ndiko atakakoenda. Kama mmea unavyoota kufata jua lilipo hata kama itabidi lipinde shina. Mh!Mkuu Bongo Kuna njaa Sana Kama unaelewa we don't do things for passionately Bali kwa kupata pesa.
Ngoja nisiendelee Sana Mana utaikosa point hapa
Njaa inatuua, ila kuwatoa ma Prof, na Dr kwenda siasani na kupiga porojo na kina Musukuma ni poor allocation of resources aisee, maana ma Prof kamili na wazoefu ni wachache Matokeo yake wanatumiwa ma Dr wasio wazoefu ndio maana elimu yetu inakuwa matopeni. Na magufuli aliwateua ma Prof wengi na kuacha vyuo vina uhaba wa wazoefu na waliopo wameshazeeka sana aisee. Taifa linalocheza na elimu ya watu wake linajiangamiza, ifike mahali nchi hii wataalamu waheshimike na walipwe masilahi makubwa ka wabunge uone ka watu watakimbilia siasani.Mkuu Bongo Kuna njaa Sana Kama unaelewa we don't do things for passionately Bali kwa kupata pesa.
Ngoja nisiendelee Sana Mana utaikosa point hapa
Hizo porojo za akina Walter Rodney...!Mkuu si sahihi kufikiria hivyo.
Chuo Kikuu cha kwanza cha usomi duniani kilikuwa Timbuktu, West Africa, zaidi ya miaka 1000 iliyopita, fuatilia.
Na kilikuwa na mitaala ya kiislamu.
Mbona Dr. Msukuma haumtaji? Dr. Mary Mwanyelwa?Dr Mnyika!
Mfn mzur UdsmNa kwa sasa vyuo vingi vina upungufu mkubwa wa wahadhiri wazoefu wenye credibility ka Mhongo vile wamekimbilia siasa
How Europe Underdeveloped Africa! Ha ha ha! Mkuu Timbuktu unaambiwa ilikuwa university ya dini!Hizo porojo za akina Walter Rodney...!
Kama Timbuktu ilikuwa na chuo kikuu miaka 1000 Leo ingekuwa vile!
Kwa hiyo hii PhD ni copy and paste kutokea huko garissa kenya? maajabu haya........mbali na abstract tungependa pia kusoma introducton, objectives, some literature review, methodologies, results and a hint on discussion........Elimu yetu inahitaji u serious sana, Hadi musukuma naye ni Dr eti. View attachment 2050044
Dr. NapeDr Mwigullu
Dr Makamba
Dr Jaffo
Dr Biteko
Dr Nchimbi
Dr Makonda
Dr Gwajima
Dr Slaa
Dr Msukuma
Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:
"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.
Kwa nini msiombe yafuatayo:
1. Abstract of the PhD thesis/dissertation
2. Conclusions or Concluding Remarks of the PhD thesis/dissertation
Mkisoma hayo mtafanya uamuzi wa ubora wa PhD mnazozijadili.
Vilevile, mnaweza kupenda kuwafahamu:
3. Supervisor(s), who is (are) the Internal Supervisor(s)
4. External Examiner(s)
Muhimu zaidi, PhD nzuri itatoa publications kwenye International journals zenye measurable IMPACT FACTORS (IF) ambazo zinaheshimika zitakuwa na range ya O.75-10. Manuscripts zipelekwe huko ziwe published kwenye journals zenye hadhi hiyo ya average to good Impact Factor (IF) or Citation Index (IC).
Mengine yote yako nje ya "the realm of academia."
S Muhongo
17.12.2021"
MY TAKE:
Haya sasa TCU wako kimya kama maji ya mtungi.
Vigezo vya PhD vinabakwa mchana kweupe, wao kimyaaa!
View attachment 2050012
Mkuu:Elimu yetu inahitaji u serious sana, Hadi musukuma naye ni Dr eti. View attachment 2050044
Mbona wako wengi?Mbona Dr. Msukuma haumtaji? Dr. Mary Mwanyelwa?
Mbona wako wengi?
Dr Nchimbi
Dr Kamala
Profesa Maji Marefu...!